Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI NA KUVUNJIKA KWA NDOA!

JAMBO hili la kuwahi kufika kileleni limeshakuwa ni tatizo kubwa sana ndani ya jamii na linakuwa na madhara makubwa sana kwenye familia zetu, mara nyingi husababisha kuvunjika kwa ndoa. Kama tulivyozungumza katika makala iliyopita kwenye upande wa dalili na visababishi basi ni vema kabisa ukiwa na dalili zifuatazo ukawahi mapema matibabu ili kujenga familia iliyo bora kabisa:
Tatizo lenyewe kuwahi kufika kileleni ni dalili ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI NA KUVUNJIKA KWA NDOA-2

Wiki iliyoipita tuliishia katika  kipengele cha tatu cha tatizo la kisaikolojia.
Tuendelee… Ndoa nyingi zimekua zikivunjika kwa sababu mbali mbali lakini sababu kubwa na imekua ikitokea kwa watu wengi sana ni sababu ya kutokushiriki vizuri tendo la ndoa na mara nyingi inapotokea kwa wanaume. Kuwahi kufika kileleni limekua ni tatizo kubwa sana ambalo linawasumbua watu wengi sana na husababisha ndoa nyingi sana...

 

9 years ago

Global Publishers

Sababu 6 za wanaume kuwahi kufika kileleni -4

couplesKama tulivyoona, wiki iliyopita tuliishia katika kuliangalia kwa undani tatizo hili la mwanaume kuwahi kufika kileleni kuwa ni kuhusu kuwa na mbegu chache za kiume.

unaposema mbegu ni chache kuliko kiwango ni kwamba unatoa kiwango cha mbegu za kiume chini ya milioni kumi na tano, kila tendo moja.

Kiwango hicho kikiwa chini ya hapo, basi uwezekano wa kumpa mwanamke mimba haupo na badala yake unafanya tu tendo la ndoa lakini uwezo wa kusababisha ujauzito haupo. Sasa endelea na mada yetu ili...

 

10 years ago

GPL

TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA

Tatizo hili hutokea kwa baadhi ya wanaume ambapo anapata msisimko mapema au mara tu anapoanza tendo la ndoa na kumfanya amalize muda huohuo, yaani muda usiozidi hata dakika tatu. Tunaposema kamaliza tendo ni kwamba anafikia kilele au mshindo na kutoa manii. Wanaume wenye hali hii wakati mwingine hutoa manii hata kwa msuguano mdogo endapo ataguswa au kugusana na mwanamke na akijenga hisia hata kwenye msongamano atajikuta tayari...

 

10 years ago

Vijimambo

AENDA JELA KWA KUWAHI KUFIKA KAZINI MAPEMA

Kevin McGill anatarajiwa kwende jela wiki 14.
Mwendesha lori la kuzoa taka kwenye majumba ya watu mji wa Sandy Spring jimbo la Georgia nchini Marekani anatakiwa kwenda jela wikiendi 14 kwa kisa ni kuwahi kuchukua taka mida ya saa 11 asubuhi badala ya saa 1 asubuhi.na kuwapigia watu kelele wakiwa wamelala.
Kervin McGill yeye mwenyewe alibaki mdomo wazi baada ya kusomewa mashitaka kwamba anapochukua taka saa 11 asubuhi anawapigia kelele waliolala na inakua usumbufu kwa wengine na majirani hao...

 

11 years ago

CloudsFM

NAAZIZ AANIKA CHANZO CHA KUVUNJIKA KWA NDOA YAKE

First Lady wa The East African Bashment Crew, kundi linaloundwa na wasanii kutoka nchi za Uganda, Bebe Cool na Kenya, Wyre na Naaziz ambaye hivi karibuni alidondoka bongo kwa ajili ya Listening Party ya album ya Mzee Mnyama Tid, 255 ya clouds fm ilipata nafasi ya kuzungumza naye japo anakuaga mgumu wa kutiririka mambo yake, 255 ilimshawishi mwanadada huyu ambaye mwishoni mwa mwaka jana ndoa yao ilitangazwa kuvunjika, chanzo kilikua nini naaziz.

Aidha miezi kadhaa iliyopita habari zilizagaa...

 

11 years ago

GPL

NDOA YA DIDA KUVUNJIKA;

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah SIKU chache baada ya kuvunjika kwa ndoa ya Khadija Shaibu ‘Dida’, aliyekuwa mumewe, Mtangazaji wa TV1, Ezden Jumanne ameibuka na kutoa sababu kuu tatu za kutengena kwao, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Khadija Shaibu ‘Dida’ na Mtangazaji wa TV1, Ezden Jumanne wakipozi. Akizungumza na waandishi wetu katika nyumba aliyohamia kwa sasa, Kijitonyama, Dar,...

 

11 years ago

GPL

NDOA YA MAIMARTHA YANUSURIKA KUVUNJIKA

Stori: Imelda Mtema NDOA ya mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse imenusurika kuvunjika baada ya kidudu mtu kutumia jina lake kwa kuwatukana watu, kusambaza umbea hadi kwa mumewe. Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse. Akielezea kwa undani sakata hilo, Maimartha alisema mtu huyo ameeneza umbea kuwa (Maimartha) ana uhusiano nje ya ndoa. “Nina wakati mgumu sana, huyu msichana anatumia jina langu mpaka kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani