Salamu za Eid Toka Kwa ATL Global Solutions (USA)
Pius WaricoyPresidentAllAfrika Travel and Logistics, llc
12925 Kitchen House Way
Germantown MD 20874
Phone: +1-202-386-6122 (Office) +1-240-552-4870 (Mobile)
Email: info@atlglobalsolutions.com
Website: http://atlglobalsolutions.com
Join Us: ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboWith ATL Global Solutions, You Eat What Your Food Ate
Do not wait for the next container to ship because at ATL, we work around the clock to meet and exceed our clients' expectations. Join other ATL’s customers and let us hassle a bit to ship and clear your goods in timely manner. It is what we say, there are no surprises or excuses!
10 years ago
VijimamboSALAMU ZA EID MUBARAK KUTOKA KWA MDAU WA VIJIMAMBO
Salamu za Eid Mubarah kutoka kwa mdau wa Vijimambo Salum Jongo wa Magati Pharmacy Kijitonyama Dar-Es-Salaam. Hapa Salum Jongo kulia akipata ukodak pamoja na maustadh wenzie baada ya sala ya Eid. mbele ya Mosque Al Noor Upanga Dar-Es-Salaam.Salum akipata ukodak wa kumbukumbu nje ya Al Noor Mosque Upanga baada ya sala ya Eid.
10 years ago
Vijimambo01 Feb
TANGAZO KWA WATU WALIOSAFIRISHA MIZIGO TANZANIA TOKA USA KWA CONTAINER AMBAYO HAIJAFIKA
Tanganzo kutoka kwa Tel 3013055731Kama kuna mtu alietuma mizigo Tanzania Kutoka oct 2013 mpaka oct 2014 na haijafikaNaomba apigie hizi number au whatsapp301 305 5731/ 240 354 8093Asante
11 years ago
Michuzi29 Jul
11 years ago
Michuzi29 Jul
10 years ago
MichuziSALAMU ZA RAMBIRAMBI TOKA NRA KWA WAKAZI WA MKOA WA KIGOMA KWA AJALI YA BOTI
Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es salaam NAIBU KATIBU MKUU TAIFA NA KATIBU MKUU WA BODI ya CHAMA CHA UJENZI WA TAIFA, NRA (NATIONAL RECONSTRUCTION ALLIANCE), Mhe HASSAN KISABYA ALMAS, ametoa pole kwa wananchi wa mkoa wa kigoma na Uongozi Mzima wa mkoa kwa msiba mzito uliowapata baada ya watu zaidi ya kumi kupoteza maisha kwa ajali ya boti.Ndugu Kisabya alisema, ajali ni jambo lisilotarajiwa na kuwataka ndugu jamaa na marafiki waliopoteza jamaa zao kuna na uvumilivu...
11 years ago
Michuzi21 Apr
SALAMU ZA MWISHO WA MSIMU TOKA KWA WEKUNDU WA MSIMBAZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UONGOZI wa Simba SC unapenda kuwashukuru wanachama na washabiki wake wote hapa nchini kutokana na mshikamano mkubwa waliounyesha wakati wa kuelekea kumalizika kwa Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu.
Ingawa matokeo hayakuwa mazuri siku zote, lakini mapenzi ambayo washabiki walionyesha kwa klabu yao lilikuwa ni jambo la faraja kwa uongozi, benchi la ufundi pamoja na wachezaji.
Wachezaji wa Simba pia wameelezea kufurahishwa kwao na namna...
11 years ago
MichuziSALAMU ZA EID KUTOKA KWA PAPAAA HASSANI KANIKI MUTU YA KILO YA TRANSHPOO
Nikiikala hapa ku Daresalama ninawaombea wato nyote sikukulu nyema yenye furaha na upendo. Hivi sasa nalikuaga kutayarishaga singo yangu mupya kwa ajiri ya Iddi hii, lakini produza akasemaga ana makazi bwerere ya kina Dayamond na Omi Dimpoz hivyo singo yangu itaitokaga kunako mwezi wa kenda. Haina neno lakini Iddi jema ku wato nyote.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania