Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAMUEL CHAMLOMO WA TBC DODOMA AFARIKI

Tasnia ya Habari nchini Tanzania imepata pigo kufutia kifo cha Mwanahabari wa TBC kanda ya Kati Dodoma, Samuel Chamlomo (pichani) aliyefariki baada ya kuugua ghafla wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi Bungeni mjini Dodoma jana. 

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BURIANI MPIGANAJI SAMUEL CHAMLOMO

Tasnia ya Habari nchini Tanzania imepata pigo kufutia kifo cha Mwanahabari wa TBC kanda ya Kati Dodoma, Samuel Chamlomo (pichani) aliyefariki baada ya kuugua ghafla wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi Bungeni mjini Dodoma jana. 
Chamlomo alifariki muda mfupi baada ya kuugua ghafla akiwa kazini.
Timu nzima ya Globu ya Jamii inaungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Wafanyakazi wote wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya kumpoteza ndugu...

 

10 years ago

GPL

TANZIA: MZEE SAMUEL LUANGISA AFARIKI DUNIA JIJINI NEW YORK

Mzee Samuel Luangisa enzi za uhai wake. Jumuiya ya Watanzania New York pamoja na Familia ya Luangisa tunasikitika kutangaza kifo cha Mzee wetu Mzee Luangisa kilichotokea jana Jumatatu Mei 25,2015 saa tano asubuhi. Msiba utakuwa nyumbani kwa Bwana Peter Luangisa,374 Hawthorne Terrace, Mount Vernon. NY,10552. Uongozi wa Jumuiya New York unatoa pole kwa wafiwa na Kama ilivyo Desturi yetu wanajumuiya tuungane na wafiwa...

 

10 years ago

CloudsFM

MTANGAZAJI MKONGWE WA TBC, BEN KIKO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR

ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.
Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu

 

10 years ago

GPL

TBC KUONESHA LIVE JK AKIONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA‏

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma  katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose kuangalia mazungumzo hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja na mtandao wa www.ikulu.go.tz IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA RAIS IKULU, NOVEMBA 4, 2014 ...

 

10 years ago

Vijimambo

TBC KUONESHA LIVE RAIS KIKWETE ANAPOONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwetemchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma katika ukumbi waKilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose kuangaliamazungumzo hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja namtandao wa www.ikulu.go.tz
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA RAIS IKULU,
NOVEMBA 4, 2014

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: TBC KUONESHA LIVE RAIS KIKWETE ANAPOONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA UKUMBI WA KILIMANI


Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma  katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzia sasa. Usikose kuangalia mazungumzo hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja na mtandao wa www.ikulu.go.tz
IMETOLEWA NA KITENGO CHA 
MAWASILIANO YA RAIS IKULU, DAR ES SALAAM
NOVEMBA 4, 2014

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge afariki dunia Dodoma

Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Mariam Mfaki (68) amefariki dunia jana mchana katika Hospitali ya Mkoa mjini hapa alipokuwa akipatiwa matibabu ya saratani. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Ezekiel Mpuya alisema mbunge huyo alifariki saa 5.30 asubuhi.

 

10 years ago

GPL

MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA

Msanii wa Chemba Squad, Moses Bushagama  ‘Mez B’ enzi za uhai wake. MSANII wa Chemba Squad, Moses Bushagama  ‘Mez B’ amefariki leo saa nne asubuhi mkoani Dodoma ambapo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pneumonia.…

 

10 years ago

Vijimambo

MSANII MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA

Msanii wa Chemba Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ enzi za uhai wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani