Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SARAH MVUNGI: ROSE MUHANDO HAJIELEWI

Mayasa mariwata Staa wa nyimbo za Injili ambaye pia ni mwigizaji wa sinema za Kibongo, Sarah Mvungi amefunguka juu ya mwimbaji mwenzake, Rose Muhando kutaka kuhama Ukristo na kurudi kwenye Uislam. Akibonga na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Sarah alistaajabu kauli ya Rose kuwa tangu amekuwa Mkristo amekuwa akiandamwa na misukosuko mingi kiasi cha kukata tamaa na kutamani kurejea kwenye dini yake ya awali ya Uislam. ...Soma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SARAH MVUNGI: NINA GUNDU NA WANAUME

Msanii wa muziki wa Injili, Sarah Mvungi. BRIGHTON MASALU MSANII wa muziki wa Injili, Sarah Mvungi amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa ana gundu na wanaume na kwamba wengi humkimbia kutokana na sharti analowapa. Akizungumza na Amani, Sarah alisema katika maisha yake hajawahi kufurahia mapenzi, aliwahi kuishi kwenye ndoa kwa miaka 12 lakini hakuwahi kufurahia maisha ya kuolewa. “Si kwamba sitongozwi, la hasha, natongozwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SARAH MVUNGI: Hazina ya vipaji iliyopitia majaribu lukuki

SARAH Mvungi ni miongoni mwa wasanii waliopitia changamoto mbalimbali ambazo zilimsababisha apitie ujuzi wa taaluma tofauti kabla ya kuibukia katika uigizaji. Msanii huyo mwenye vipaji lukuki, amepitia mengi katika maisha...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AWEWESEKA

Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando. MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando ambaye hivi karibuni alikanwa na aliyewahi kuwa meneja wake wa muda mrefu, Alex Msama, anadaiwa kuweweseka asijue la kufanya kufuatia hatua hiyo. Akizungumza kutoka Dodoma yalipo makazi ya mwimbaji huyo, mmoja wa watu wake wa karibu aliyeomba hifadhi ya jina lake, alisema hatua ya Msama kutangaza kutofanya naye kazi,...

 

9 years ago

Habarileo

Rose Muhando matatani

MUIMBAJI maarufu hapa nchini wa nyimbo za Injili, Rose Muhando anatafutwa na waandaaji wa tamasha la Injili wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa madai ya kutoonekana kutumbuiza kama jinsi walivyokubaliana.

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO MGONJWA

Stori: Gladness Mallya
TUMUOMBEE! Hali ya kiafya ya staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando siyo nzuri na amewaomba Watanzania wamuombee kwani ni mgonjwa. Staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando. Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum katikati ya wiki hii, Rose ambaye ameripotiwa kwa misala tofauti ya kuchikichia fedha za shoo hivi karibuni, amefunguka kuwa afya yake si nzuri kwani anasumbuliwa na mshipa...

 

11 years ago

GPL

ROSE MUHANDO MBARONI!

Stori: Mwandishi Wetu
STAA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando yamemkuta ya kumkuta ambapo Ijumaa iliyopita alishikiliwa na Polisi wa Kituo cha Msimbazi jijini Dar es Salaam kwa madai ya kuingia mitini na shilingi milioni 6 alizolipwa kwa ajili ya kwenda kufanya shoo ya kiroho, Mombasa, Kenya Novemba 3, 2013 lakini hakutokea. Rose Muhando. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Rose alidakwa jijini Dar es Salaam saa sita mchana huku...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI

Brighton Masalu
ROSE Muhando, aliye mwimbaji Injili Bongo, amejikuta akimwaga machozi yaliyojaa uchungu huku akitumia kama dakika 45 kuelezea wazi mateso na manyanyaso ambayo anayapitia kwa sasa ikiwemo kuhusishwa na tuhuma za utapeli na ‘kubwia unga’, Risasi Jumamosi linakupa stori kamili! Mwimbaji Injili Bongo, Rose Muhando. ILIKUAJE?
Mwandishi wetu alimtafuta mwimbaji huyo juzi kwa njia ya simu kutoka mkoani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rose Muhando aibuka na ‘Facebook’

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando, ameibuka na wimbo mpya uitwao ‘Facebook’. Akizungumza na gazeti hili, Muhando alisema ana imani wimbo huo utakuwa kivutio kikubwa kwa jamii,...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO KWA UTAPELI TOO MUCH!

Stori:  Mwandishi Wetu, IRINGA
LILE jinamizi la kupokea fedha kwa ajili ya kushiriki tamasha la kuimba nyimbo za Injili kisha kutotokea siku ya tukio linazidi kumwandama nyota wa muziki huo nchini, Rose Athuman Muhando, safari hii akidaiwa kumliza tena mtu, Ijumaa Wikienda lina kesi hiyo mkononi. Nyota wa muziki huo nchini, Rose Athuman Muhando. Kwa mujibu wa chanzo makini cha ndani, safari hii ameendelea kupokea fedha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani