Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sarakasi za mgomo

Dar es Salaam. Mgomo wa madereva uliotanda nchi nzima na kudumu kwa zaidi ya saa 30 ulisitishwa jana mchana ukiwa umegubikwa na matukio mengi, ikiwa ni pamoja na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na polisi kurushiwa mawe, kufyatuliwa kwa mabomu ya machozi, na mvutano wa kisiasa baina ya viongozi wa Serikali na Chadema.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sarakasi mpya ya Escrow

Wakati Taifa likisubiri kauli ya Rais Jakaya Kikwete kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge ya kuwawajibisha mawaziri na watendaji wa Serikali waliohusishwa na kashfa ya Akaunti ya Escrow, Kampuni za IPTL na Pan Africa Power Solutions (PAP) zimekimbilia mahakamani kuzuia utekelezaji wa maazimio hayo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sarakasi za ujangili nazifananisha na EPA!

“SERIKALI ina mkono mrefu sana, hatupendi mtu aache mke na watoto wake afungwe miaka 50. Kama ni majina tutayabandika, nimeshakubali, tutayabandika, ni kwamba tu sina hiyo orodha hapa”. Hii ni kauli...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sanaa ya sarakasi yainua vijana TZ

Shule ya Sarakasi ya Mama Afrika yainua vijana Dar es Salaam

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Malawi wageuka 'Sarakasi'

Uchaguzi wa Malawi umeendelea kubeba sura mpya ya sarakasi za mapingamizi ya kisheria, baada ya mahakama kuu kuamuru Tume ya uchaguzi nchini humo iendelee na mipango ya kazi zake

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sarakasi hizi za Bukoba zimalizwe

MGOGORO wa uongozi katika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba baina ya madiwani na aliyekuwa Mstahiki Meya, Dk. Anatory Amani, umefumka upya baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kagera,...

 

9 years ago

Mwananchi

Urais ACT — Wazalendo sarakasi tupu

Sintofahamu imetanda ndani ya Chama cha ACT – Wazalendo juu ya hatima ya mgombea wa urais baada ya mgombea aliyependekezwa na kuchukuliwa fomu ya kuomba uteuzi, Profesa Kitila Mkumbo kuikataa nafasi hiyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Kukamatwa vijana JKT sarakasi tupu

George-MgobaNa Waandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi nchini na uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wametofautiana kauli kuhusu aliko Mwenyekiti wa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), George Mgoba (28), anayedaiwa kutoroshwa na polisi hospitalini hapo alikokuwa amelazwa.
Mgoba anadaiwa kutoroshwa na polisi baada ya Muhimbili kumruhusu ambapo hadi sasa hajulikani alipo.
Wakati Muhimbili wakisema mgonjwa huyo aliruhusiwa jana saa sita mchana, Jeshi la Polisi...

 

10 years ago

Bongo5

Mchezaji afariki akisherehekea bao kwa kuruka sarakasi

Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuanguka vibaya uwanjani akisherehekea goli alilofunga. Mchezaji huyo alikuwa na umri wa miaka 23 na alijeruhi uti wake wa mgongo baada ya kuanguka uwanjani akisherehekea bao lake la kusawazisha kw atimu yake Bethlehem Vengthlang FC dhidi ya Chanmari West FC. Biaksangzuala […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Unachohitaji kukifanya ili kufanikiwa katika sarakasi za kupindisha mwili

Mwanasarakasi Aleksei Goloborodko amekua akipindisha mwili wake katika muonekano wa kushangaza tangu alipokua na umri wa miaka mine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani