Sarakasi za ujangili nazifananisha na EPA!
“SERIKALI ina mkono mrefu sana, hatupendi mtu aache mke na watoto wake afungwe miaka 50. Kama ni majina tutayabandika, nimeshakubali, tutayabandika, ni kwamba tu sina hiyo orodha hapa”. Hii ni kauli...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7zRtwDA0Shs/VQ_hgtHGS6I/AAAAAAAHMWE/Ls4U0PVIKi4/s72-c/unnamed%2B(65).jpg)
Vita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...
10 years ago
Mwananchi06 May
Sarakasi za mgomo
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Sarakasi mpya ya Escrow
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Sarakasi hizi za Bukoba zimalizwe
MGOGORO wa uongozi katika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba baina ya madiwani na aliyekuwa Mstahiki Meya, Dk. Anatory Amani, umefumka upya baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kagera,...
11 years ago
BBCSwahili26 May
Uchaguzi wa Malawi wageuka 'Sarakasi'
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
9 years ago
Mwananchi18 Aug
Urais ACT — Wazalendo sarakasi tupu
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Kukamatwa vijana JKT sarakasi tupu
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi nchini na uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wametofautiana kauli kuhusu aliko Mwenyekiti wa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), George Mgoba (28), anayedaiwa kutoroshwa na polisi hospitalini hapo alikokuwa amelazwa.
Mgoba anadaiwa kutoroshwa na polisi baada ya Muhimbili kumruhusu ambapo hadi sasa hajulikani alipo.
Wakati Muhimbili wakisema mgonjwa huyo aliruhusiwa jana saa sita mchana, Jeshi la Polisi...
10 years ago
Bongo521 Oct
Mchezaji afariki akisherehekea bao kwa kuruka sarakasi