Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SASA TECNO SPARK 5 YENYE KAMERA 5 RASMI SOKONI

KAMPUNI ya simu za mkononi ya TECNO imetangaza rasmi kuzindua  simu yake mpya TECNO SPARK 5 yenye kamera tano ambapo uzinduzi huo umefanyika Jijini Dar es Salaam moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii zikiwemo kurasa za mitandao ya kijamii za TECNO.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo meneja mauzo wa TECNO, Mariam Mohamed alisema uzinduzi wa simu hiyo umekuja ukiwa umeambatana na kifurushi cha zawadi kwa wateja yaani (Gift Box) ambayo ni maalum kwaajili ya mteja yeyote anayenunua TECNO...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TECNO SPARK 5, SIMU YENYE KAMERA 5 KUZINDULIWA IJUMAA HII

Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, inatarajia kuzindua simu yake mpya aina ya TECNO SPARK 5 yenye kamera 5 Ijumaa hii kwa njia ya mtandao, ikiwa ni mara ya pili kuzindua kwa njia hiyo ya mtandao ambayo kwa mara ya kwanza ilitanguliwa na TECNO CAMON 15.
Akizungumza kwa njia ya simu leo jijini Dar es Salaam, afisa masoko wa TECNO mtandaoni Bi. Salma Shafii amethibitisha kuwa ni kweli simu hiyo itazinduliwa Ijumaa kwa njia ya mtandao.
“TECNO SPARK 5 ni simu ambayo ina kamera 5 tunatarajia...

 

5 years ago

Michuzi

SIMU YA TECNO CAMON 15 SASA YAZINDULIWA RASMI, WAPENZI WA VITU VIPYA WAKARIBISHWA

KAMPUNI ya simu za mkononi  ya TECNO, imezindua  rasmi simu yake mpya CAMON 15 ambayo imesheheni sifa mbalimbali ikiwemo  kamera ya nyuma yenye MP64 na mbele MP32 ambayo imewekewa  teknolojia  kubwa yenye uwezo wa kupiga picha mahali popote na wakati wowote.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa simu hiyo wiki hii jijini Dar es Salaam kupitia mitandao ya kijamii meneja uhusiano wa kampuni hiyo, Eric Mkomoya, alisema  simu hiyo itawasaidia sana watu wanaopenda  kutumia kamera katika nyanja...

 

10 years ago

Michuzi

FILAMU YA C.P.U IPO SOKONI SASA

FILAMU kubwa ya C.P.U Kitengo cha kutetea Watoto imeingia leo sokoni kwa njia ya mtandao, lengo likiwa ni kuwafikia watu wengi Ulimwenguni, hivyo kwa utaratibu wa kampuni ya usambazaji ya Proin Promotions ni kuuza katika mtandao baadae katika Dvd na njia nyingine.
Leo Jumatatu tarehe 16.February. 2015 inapatikana mtandaoni unaweza kununua filamu hiyo kwa kutembelea www.proinpromotions.co.tz na kununua filamu ya C.P.U na filamu zingine za Proin Promotions utanunua na kuangalia full HD.
Sinema...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Pindi Chana azindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb) akizundua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni na wanaofanya shughuli zao katika sekta zisizo rasmi. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Belinda Jijini Dar es salaam tarehe 27 Februari 2015. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akizungumza mara baada ya kuzindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAZI YA MICHAEL JACKSON ‘NEVERLAND’ YAINGIA RASMI SOKONI, YAUZWA KWA DOLA MILIONI 100

292899DB00000578-3101512-Everlasting_There_are_still_a_few_small_signs_that_the_property_-a-18_1432854494050Makazi maarufu ya marehemu Michael Jackson, yameingizwa sokoni kwa mara ya kwanza tangu kifo chake.  Nyumba hiyo ipo katika maeneo ya Santa Barbara, California nchini Marekani. Makazi hayo yanauzwa kwa dola milioni 100.292899E700000578-3101512-Not_the_same_Neverland_pictured_2001_now_known_as_Sycamore_Valle-a-25_1432854494339Makazi hayo yanayouzwa na kampuni ya Sotheby’s and Hilton & Hyland iliyolipa deni alilokuwa akidaiwa MJ na kuyachukua, yana ukubwa wa futi za mraba 12,000 na yamo katikati ya maziwa mawili huku nyumba ikiwa na vyumba 8.2928999A00000578-3101512-Mini_town_While_the_amusement_park_has_now_been_removed_there_ar-a-23_1432854494233Na sasa yamebadilishwa jina kutoka Neverland na kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani