Saudia yaiwekea vikwazo kampuni ya kina osama
MFALME Salman wa Saudi Arabia ameiwekea vikwazo kampuni yenye ushawishi mkubwa nchini humo ya Binladen Group.
Kampuni hiyo inamilikiwa na familia ya kiongozi wa zamani wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda, Osama bin Laden. Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia kuanguka kwa winchi katika msikiti mkubwa mjini Mecca, iliyowaua watu 107 na kujeruhi wengine karibu 400 siku chache kabla ya ibada ya hija.
Kamati ya Uchunguzi imeona kuwa kampuni hiyo imebeba dhamana kwa janga hilo lililotokea Ijumaa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili20 Jun
Marekani yaiwekea vikwazo Uganda
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
Marekani yaiwekea Urusi vikwazo zaidi
9 years ago
Mwananchi20 Aug
Tuzo za kampuni 100 bora zilivyoibua vikwazo vya kukua uchumi Tanzania
11 years ago
Mwananchi14 Mar
CUF yaiwekea pingamizi Chadema ubunge Chalinze
9 years ago
BBCSwahili18 Aug
Kanda za sauti ya Osama zasikika
10 years ago
TheCitizen20 Jan
Did intel from Dar lead US to Osama?
10 years ago
TheCitizen21 Jan
US embassy speaks out on Osama informer
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Waathiriwa wa Osama kufidiwa Tanzania
10 years ago
BBCSwahili11 May
Osama:Mwandishi akanusha madai ya Marekani