Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SBL yafadhili wanafunzi UDSM

Katika kuunga mkono juhudi za serikali za kupanua wigo wa elimu Tanzania, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imetoa ufadhili kwa wanafunzi wahitaji katika masomo ya chuo kikuu.  Wanafunzi hao waliofaulu daraja la kwanza wanaanza masomo yao mwaka huu wa masomo katika chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Wanafunzi waliopata ufadhili huo ni Michael Daniel na Consolatha Mushi wanaokwenda kusomea uhandisi wa ujenzi na Lisa Kalokola anayekwenda kusomea uhandisi wa madini katika chuo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wanafunzi UDSM wamnunulia gari mwenzao

Wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) wamemnunulia mwenzao, Malangwa Machibya gari ili kumwezesha kuendelea na masomo baada ya kuumia mguu katika ajali.

 

10 years ago

Vijimambo

Wanafunzi UDSM wapigwa mabomu wakidai mikopo.

Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa HESLB, Cosmas Mwaisobwa.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), wanaoishi katika hosteli za Mabibo ambao walikuwa wakiandamana kudai fedha zao za kujikimu.

Walichukua hatua hiyo kutokana na kucheleweshewa mikopo na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HELSB).
Tukio hilo lilitokea usiku walipoandamana kudai wawekewe fedha kwenye akaunti zao...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali ya Majinjah yaondoka na wanafunzi watano UDSM

>Wanafunzi watano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ni miongoni mwa watu waliofariki katika ajali ya basi la Majinjah iliyotokea wilayani Mafinga, Jumatano baada ya kugongana na lori na kuangukiwa na kontena lililokuwa limebebwa na lori hilo.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanafunzi UDSM walivyotafsiri simulizi ya rafiki wa kweli vitendo

Waswahili wahusema rafiki wa kweli ni yule anayekufaa wakati wa faraja na dhiki. Ingawa watu wengi wanaufahamu msemo huo, inawezekana si wote waliowahi kunufaika au kuwanufaisha marafiki au ndugu zao.

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SJMC UDSM WAPATA NAFASI YA KUONESHA VIPAJI VYAO VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA

Wanafunzi wa SMJC katika maonyesho ya urembo. Msanii Kweli MC akitoa free style. Mwanafunzi kutoka SJMC akitoa burudani safiii... Mzee Kitime akiwaasa wanafunzi kutumia vipaji kutimiza ndoto zao.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wahamasisha utalii wa ndani kwa vitendo

Mnyama Ngiri akiwa amejipumzisha kwenye tope kama alivyokutwa na kamera yetu.

Baadhi ya Wanafunzi  wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wamefanya ziara ya siku mbili ya kitalii katika hifadhi ya taifa ya Saadani pamoja na sehemu ya kihistoria ya Kaole iliyopo Bagamoyo ikiwa ni sehemu ya kujifunza pamoja na kuhamasisha utalii wa ndani.

Wanafunzi hao kutoka katika “Collage” tofauti tofauti ikiwemo utalii, uchumi na biashara waliofanya ziara hiyo ikiwa chini ya mwamvuli wa University of Dar...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI UDOM, DUCE WAGOMA, MADAI NI KAMA YALE YA WENZAO WA UDSM. WANADAI MIKOPO ITOLEWE

WANAFUNZI wa vyuo vikuu vya UDOMA, Mkoani Dodoma ni kile cha DUCE jijini Dar es Salaam, waliamua kuacha masomo na kugoma kushinikiza bodi ya mikopo kulipa mikopo yao. Mgomo huo unakuja siku mbili tu baada ya wenzao wa UDSM kugoma kwa madai kama hayo na hatimaye siku iliyofuatia wakalipwa. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, alilazimika kumtuma naibu waziri wa Afya Steven Kebwe na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa ili kutuliza "mzuka" wa wanafunzi ambapo baadhi yao walilia kwa uchunghu kama Eva...

 

10 years ago

Dewji Blog

UNESCO yafadhili maendeleo ya sayansi Afrika

IMG_7359

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye mahafali ya pili ya Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia yaliyofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)

Na Mwandishi Wetu, Arusha

SHIRIKA la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limesema linafanyakazi na nchi 20 za Afrika kutengeneza mifumo ya kitaifa ya sayansi, teknolojia kusaidia mataifa hayo kufikia malengo yao ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani