Ajali ya Majinjah yaondoka na wanafunzi watano UDSM
>Wanafunzi watano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ni miongoni mwa watu waliofariki katika ajali ya basi la Majinjah iliyotokea wilayani Mafinga, Jumatano baada ya kugongana na lori na kuangukiwa na kontena lililokuwa limebebwa na lori hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-FQ37ewEDSSI/VQGwjJqw0dI/AAAAAAAAB-I/avxoIi6CbTA/s72-c/mbatia%2Bpx.jpg)
Mapya yaibuka ajali ya Majinjah
Idadi ya waliokufa yaongezekaMbatia ajipanga kuchukua hatua
NA WAANDISHI WETU
IDADI ya watu waliokufa katika ajali iliyohusisha basi la Majinjah Express, kugongana uso kwa uso na lori, imeongezeka na kufikia 50.
Ajali hiyo iliyotokea juzi, Mufindi mkoani Iringa, ilisababisha kontena lililobebwa na lori hilo, kuangukia basi na kisha kuwabana abiria waliokuwemo na kusababisha vifo vya watu 42 papo hapo.
Hata hivyo, kumeibuka sintofahamu kuhusiana na idadi kamili ya watu waliokuwemo kwenye magari...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-AxjLN2ok5Ys/Vj718tQ2j2I/AAAAAAAIE2o/_Kw0TZesyPo/s72-c/unnamed%2B%252860%2529.jpg)
SBL yafadhili wanafunzi UDSM
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Wanafunzi UDSM wamnunulia gari mwenzao
10 years ago
Vijimambo20 May
Wanafunzi UDSM wapigwa mabomu wakidai mikopo.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Cosmas-20MAY2015.jpg)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), wanaoishi katika hosteli za Mabibo ambao walikuwa wakiandamana kudai fedha zao za kujikimu.
Walichukua hatua hiyo kutokana na kucheleweshewa mikopo na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HELSB).
Tukio hilo lilitokea usiku walipoandamana kudai wawekewe fedha kwenye akaunti zao...
10 years ago
Habarileo14 Mar
Ajali iliyoua watu 50 yapeleka msiba UDSM
WANAFUNZI watano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni miongoni mwa watu 50 waliokufa katika ajali ya basi la Majinja, lililogongana na lori katika eneo la Changarawe Mafinga mkoani Iringa.
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Wanafunzi UDSM walivyotafsiri simulizi ya rafiki wa kweli vitendo
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Ajali yaua watano
11 years ago
Mwananchi18 May
Mvua yaua wanafunzi watano Rungwe
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Wanafunzi watano wafariki dunia Mtwara