Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SENGA :BUSU LA KAJALA LILINIPA USINGIZI

Imelda Mtema MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Joseph Senga ‘Senga’ amefunguka kuwa busu alilompiga staa wa kike wa filamu, Kajala Masanja lilimfanya alale usingizi mnono sana ukizingatia kuwa hajawahi kubusu shavu laini kiasi hicho kwasababu warembo wengi wanazingua. Joseph Senga ‘Senga’ Akizungumza na Centre Spread, Senga alisema alipata fursa hiyo ya kumpiga busu wakati wakiigiza filamu matata ya Pishu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Senga: Busu la Kajala Lilinifanya Nilale Usingizi Mnono

Staa wa vichekesho kutoka Bongo Movies, Joseph Senga ‘Senga’ amefunguka kuwa busu alilompiga staa wa kike wa filamu, Kajala Masanja lilimfanya alale usingizi mnono sana ukizingatia kuwa hajawahi kubusu shavu laini kiasi hicho kwasababu warembo wengi wanazingua.

Akizungumza na GPL, Senga alisema alipata fursa hiyo ya kumpiga busu wakati wakiigiza filamu matata ya Pishu iliyoandaliwa na Kajala Entertainment, itakayoingia sokoni Mei Mosi, ambapo alisema anajikubali katika filamu hiyo ambayo...

 

11 years ago

GPL

H BABA: GAZETI NDIYO LILINIPA MKE

H Baba na mkewe Flora Mvungi wakihojiwa ndani ya Global TV Online. MFALME wa miondoko ya Takeu, Hamis Ramadhan ‘H Baba’ amefunguka kuwa gazeti (la Global Publishers) lilikuwa kigezo kikuu cha yeye kumtia mikononi, mkewe muigizaji, Flora Mvungi. WASIKILIZE H BABA NA MKEWE FLORA MVUNGI WALIPOLONGA NA GLOBAL TV ONLINE NDANI YA MTU KATI Akizungumza na Global TV Online kwenye kupitia Kipindi cha Mtu… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Filamu ya Wema yamlewesha Senga

MSANII wa filamu za vichekesho, Ulimboka Mwakasala ‘Senga’, amesema kwa sasa anapumzika kucheza filamu hizo na kuhamia za kawaida. Senga ni miongoni mwa wasanii wakongwe ambao wanatamba katika tasnia hiyo,...

 

11 years ago

GPL

PEMBE, SENGA WAFUNGA MTAA

Stori: Mwandishi Wetu, Kahama WASANII nyota wa vichekesho Bongo, Ulimboka Mwalulesa ‘Senga Kijumule’ na swahiba wake, Yusuph Kaimu Machoti ‘Pembe’ hivi karibuni walifunga mtaa mjini Kahama baada ya mashabiki kuwazunguka kwa dakika 45 wakiwashangaa. Wasanii nyota wa vichekesho Bongo, Ulimboka Mwalulesa ‘Senga Kijumule’(kulia) na swahiba wake, Yusuph Kaimu Machoti ‘Pembe’. ...

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

9 years ago

Global Publishers

Busu la Wema Lamdatisha JB

jb na wema (2)Waigizaji nguli wa sinema za Kibongo, Jacob Stephen na mwenzake Wema Sepetu ‘Madam’.

Mwandishi wetu

MKONGWE kwenye anga la sinema za Kibongo, Jacob Stephen ameeleza jinsi alivyodatishwa na busu la mwigizaji mwenzake Wema Sepetu ‘Madam’ wakati wakirekodi sinema yake mpya iitwayo Chungu cha Tatu.

jb na wema (1)JB alisema licha ya kuwa busu hilo lilikuwa katika moja ya scene ya filamu hiyo iliyoingia sokoni Jumatatu iliyopita, lakini lilimfanya akose amani kutokana na Wema alivyolipiga kwa mbwembwe na...

 

9 years ago

GPL

BUSU LA WEMA, MAKAMBA MH!

Musa mateja BUSU walilopigana mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba lilizua gumzo la aina yake huku wambea wakisema; “wamependezana.”  ....Soma zaidi===> http://goo.gl/6vzzvZ

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,busu ni ishara ya kuonyesha mahaba?

Utafiti mpya umegundua kwamba busu la mdomo kwa mdomo sio ishara kamili ya kuonyesha mapenzi, kinyume na dhana ya watu wengi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani