Senga: Busu la Kajala Lilinifanya Nilale Usingizi Mnono
Staa wa vichekesho kutoka Bongo Movies, Joseph Senga ‘Senga’ amefunguka kuwa busu alilompiga staa wa kike wa filamu, Kajala Masanja lilimfanya alale usingizi mnono sana ukizingatia kuwa hajawahi kubusu shavu laini kiasi hicho kwasababu warembo wengi wanazingua.
Akizungumza na GPL, Senga alisema alipata fursa hiyo ya kumpiga busu wakati wakiigiza filamu matata ya Pishu iliyoandaliwa na Kajala Entertainment, itakayoingia sokoni Mei Mosi, ambapo alisema anajikubali katika filamu hiyo ambayo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tVyYDnk4ZvPPMYueHA-0kgoiEL3kY1N0Y5IamlY70Ph7NoX3D83uzG7Ly13G3Vvmq9QERSOXRwriXODDYLam1cihprjIuTkZ/kk.gif?width=650)
SENGA :BUSU LA KAJALA LILINIPA USINGIZI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOZpXiOLbO25835Qw2p9lpPsKwyIxw*pfkA7Ly*oG77nrJxQTNuMDGBMwiPlKTM9CGxqyMWzB6FQAW9jmPsB8C3C/pembe.jpg?width=650)
PEMBE, SENGA WAFUNGA MTAA
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Filamu ya Wema yamlewesha Senga
MSANII wa filamu za vichekesho, Ulimboka Mwakasala ‘Senga’, amesema kwa sasa anapumzika kucheza filamu hizo na kuhamia za kawaida. Senga ni miongoni mwa wasanii wakongwe ambao wanatamba katika tasnia hiyo,...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
10 years ago
GPLQ-CHILLAH ALAMBA MKATABA MNONO
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
Mbene aahidi makubwa kwa ushindi mnono
Na Mwandishi wetu
MBUNGE mteule katika Jimbo la Ileje mkoani Songwe ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene (CCM) amewashukuru wananchi wa jimbo hilo kwa kumpa kura za kishindo, madiwani na Dkt. Jonh Magufuli anayewania urais.
Akizungumza na wakazi wa Ileje, Mbene alisema ushindi wa kura 27,583 aliopewa na wana Ileje dhidi ya Emmanuel Mbuba wa NCCR Mageuzi aliyepata kura 14,578 atahakikisha anawapa wananchi hao kupitia ushirikiano, usimamizi na utatuzi wa changamoto...
9 years ago
Bongo503 Oct
T.I. asaini mkataba mnono na Warner Bros Television
5 years ago
Michuzi13 Feb
Benki ya CRDB Yatoa Udhamini Mnono Tamasha la Sauti za Busara!
![](https://mwanaharakatimzalendo.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/CRDB-660x365.jpeg)
Msimu wa 17 wa Sauti za Busara umeanza rasmi leo Alhamis ya Februari 13 hadi 17 utakaofanyika eneo la kihistoria Ngome Kongwe likiwa na wadhamini mbalimbali ikiwemo Benki ya CRDB. Akizungumza na waandishi wa habari katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Marumaru, Stone Town, Zanzibar mwakilishi wa Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Zanzibar Ndugu Jerome Saraka ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Makusanyo ya VISA uwanja wa ndege amesema: "Leo tunapotambulisha rasmi udhamini huu wa milioni 20,...