Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali imebariki uchochezi wa Lukuvi, Komba? 

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi na Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteini John Komba (CCM), wamefanya uchochezi wa wazi wenye kuhatarisha amani ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Lukuvi: Serikali haikurupuki

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema Serikali haikurupuki inapochukua hatua kwa ajili ya jambo fulani kama baadhi ya watu wanavyodhani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lukuvi: Serikali imejipanga kupambana dawa za kulevya

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, amesema serikali imejipanga kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya na itakabiliana na wahusika kwa kutumia kila mbinu...

 

11 years ago

Mwananchi

Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

>Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), William Lukuvi ameanza kampeni kanisani kuwataka wananchi kupinga serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, vinginevyo nchi itatawaliwa na jeshi kwa kuwa Serikali ya Muungano itashindwa kuwalipa mishahara wanajeshi.

 

10 years ago

Habarileo

Vyama vyatakiwa kuacha uchochezi

MASHIRIKA yasiyo ya Serikali yanayotetea Usawa wa Kijinsia, Haki za Binadamu, Demokrasia, Utawala bora, Maendeleo na Ukombozi wa Mwanamke Kimapinduzi (FemAct), yametaka vyama vya siasa na makundi mbalimbali kuacha kushiriki katika vitendo vya kiuchochezi vinavyoweza kusababisha vurugu nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tumemuacha Mwigulu afanye uchochezi!

MAANDIKO matakatifu ya Biblia, Luka 17:1- yanasema kuwa; Makwazo hayana budi kuja lakini ole wake mtu anayesababisha makwazo hayo, kwani anastahili kufungiwa jiwe la kusagia shingoni na kutoswa baharini. Naibu...

 

11 years ago

GPL

KUMBE NYERERE ALISHITAKIWA KWA UCHOCHEZI

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Dar es Salaam Juni 9, 1958 katika kesi ya jinai namba 2207/58 mbele ya Hakimu L.A.Davis. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwendesha mashitaka wa kesi hiyo alikuwa J.C.Summerfied na Mwalimu Nyerere alitetewa na mawakili watatu, D.N.Pritt aliyekuwa wakili kiongozi akisaidiwa na Wakili Mahamoud Rattansey na Wakili K.L.Jhavery....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mmefikia hadi kuanza uchochezi bungeni?

MAWEEEE! Nawaapia kila kukicha afadhali  jana yake. Lile ni  Bunge la Katiba  au mkusanyiko  wa watu tu? Nasema watu walioko masokoni na kwenye vilabu vya pombe ambako hakuna mwenyekiti wala...

 

10 years ago

Habarileo

Ponda aomba kesi ya uchochezi isimamishwe

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Issa Ponda ameomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani Morogoro.

 

10 years ago

Vijimambo

KAFULILA MBARONI KWA TUHUMA ZA UCHOCHEZI

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila---JESHI la Polisi linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kwa tuhuma za uchochezi, akiwataka wananchi wasichangie ujenzi wa maabara katika shule za sekondari nchini.

Kafulila alikamatwa mapema jana asubuhi katika mji mdogo wa Nguruka wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, ambako alikuwa akifanya mikutano ya hadhara, kuelezea sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Escrow na kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani