Serikali imejipanga kukabili njaa-Bendera
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Hanang’ kuwa hakuna mwananchi atakayekufa kwa njaa kwa kuwa serikali imejipanga kukabiliana na hali hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo05 Sep
Tanzania imejipanga kukabili ebola
RAIS Jakaya Kikwete, amesema Tanzania imejipanga vyema kukabiliana na kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa ebola, huku akisisitiza kuwa hadi sasa hakuna mgonjwa aliyebainika kuwa na ugonjwa huo nchini. Akizungumza na wazee wa Dodoma mkoani hapo jana, Rais Kikwete alisema kwa sasa ugonjwa huo umekuwa tishio hasa kwa nchi za Afrika Magharibi, ikiwemo Guinea, Sierra Leone na Liberia na tayari wataalamu wametangaza usipodhibitiwa, huenda ukawashinda na kuwa ugonjwa hatari kama ilivyo kwa ugonjwa...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Lukuvi: Serikali imejipanga kupambana dawa za kulevya
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, amesema serikali imejipanga kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya na itakabiliana na wahusika kwa kutumia kila mbinu...
11 years ago
Mwananchi03 Aug
Dk Kebwe: Serikali imejipanga kudhibiti ugonjwa wa ebola
11 years ago
MichuziSerikali imejipanga kutatua tatizo la makazi kwa watumishi wa umma
Serikali imejipanga kutatua tatizo la makazi kwa watumishi wa umma kwa kujenga nyumba Elfu 10 za gharama nafuu kote nchini.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Bw.Elius Mwakalinga wakati wa ziara ya waandishi wa habari katika miradi mbalimbali inayotekelezwa na wakala huo jijini Dar es Salaam na Pwani.
Mwakalinga alisema kuwa mradi huo wa nyumba elfu 10 unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 18 unahusisha nyumba...
5 years ago
MichuziSERIKALI IMEJIPANGA KUONDOA KASORO ZILIZOJITOKEZA KWENYE MIRADI YA REA-MGALU
Ayasema hayo,Februari 26,2020, wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kiromba,Kata ya Kiromba,Wilaya ya Mtwara vijiji,Mkoani Mtwara,kabla ya kuwasha umeme kwenye kijiji hicho.
Amezitaja baadhi kasoro hizo nia pamoja na baadhi ya wakandarasi kupewa maeneo makubwa ya...
5 years ago
Michuzi
SERIKALI IMEJIPANGA KUHAKIKISHA NISHATI YA MAFUTA INAPATIKANA MUDA WOTE NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Zena Said(aliyesimama),akizungumza kwenye kikao baina Waziri wa Nishati na wadau mbalimbali wa Mafuta nchini,jijini Dar es Salaam, Machi 17,2020 (Kulia )Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani,( Kushoto) Naibu Katibu Mkuu Mhandisi Leonard Masanja.

10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Serikali yakana tishio la njaa Sudan.K
10 years ago
Mtanzania13 Apr
sekondari za Serikali zafungwa kwa njaa
Na Waandishi Wetu
SHULE mbalimbali za sekondari za bweni zinazomilikiwa na Serikali zimefungwa kutokana na kukosa chakula.
Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA umebaini takribani kwenye mikoa yote kuna shule zimefungwa na nyingine ziko hatarini kufungwa kwa kukosa chakula.
DODOMA
Mkoani Dodoma Shule ya Sekondari Mpwapwa iliyopo katika Wilaya ya Mpwapwa ilitakiwa kufunguliwa tangu Aprili 8, lakini imeshindikana kutokana na ukosefu wa chakula.
Akizungumza na MTANZANIA, mkuu wa shule hiyo, Nelson...
10 years ago
StarTV15 Apr
Serikali yatenga tani 13,630 kwa ajili ya chakula cha njaa.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Serikali imesema inaendelea na zoezi la usambazaji wa chakula cha njaa kwenye maeneo yaliyotathminiwa kuwa na upungufu wa chakula ambapo jumla ya tani 13,630 zimetengwa kwa ajili ya zoezi hilo na tayari tani 7,560 zimekwishasambazwa kwa walengwa.
Miongoni mwa mikoa hiyo ni pamoja na Arusha, Kilimanjaro, Simiyu, Manyara, Tabora, Mara, Kagera, Lindi, Mtwara, Morogoro, Singida na Katavi.
Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa 2013/14 ulifikia...