sekondari za Serikali zafungwa kwa njaa
Na Waandishi Wetu
SHULE mbalimbali za sekondari za bweni zinazomilikiwa na Serikali zimefungwa kutokana na kukosa chakula.
Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA umebaini takribani kwenye mikoa yote kuna shule zimefungwa na nyingine ziko hatarini kufungwa kwa kukosa chakula.
DODOMA
Mkoani Dodoma Shule ya Sekondari Mpwapwa iliyopo katika Wilaya ya Mpwapwa ilitakiwa kufunguliwa tangu Aprili 8, lakini imeshindikana kutokana na ukosefu wa chakula.
Akizungumza na MTANZANIA, mkuu wa shule hiyo, Nelson...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Shule Za Sekondari za Serikali Zafungwa Kwa Kukosa Chakula

Shule mbalimbali za sekondari za bweni zinazomilikiwa na Serikali zimefungwa kutokana na kukosa chakula.
Uchunguzi umebaini takribani kwenye mikoa yote kuna shule zimefungwa na nyingine ziko hatarini kufungwa kwa kukosa chakula.Mkoani Dodoma Shule ya Sekondari Mpwapwa iliyopo katika Wilaya ya Mpwapwa ilitakiwa kufunguliwa tangu Aprili 8, lakini imeshindikana kutokana na ukosefu wa chakula.
Mkuu wa shule hiyo, Nelson Mbilinyi, alisema walifunga shule kwa ajili ya likizo fupi, lakini hadi sasa...
10 years ago
StarTV15 Apr
Serikali yatenga tani 13,630 kwa ajili ya chakula cha njaa.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Serikali imesema inaendelea na zoezi la usambazaji wa chakula cha njaa kwenye maeneo yaliyotathminiwa kuwa na upungufu wa chakula ambapo jumla ya tani 13,630 zimetengwa kwa ajili ya zoezi hilo na tayari tani 7,560 zimekwishasambazwa kwa walengwa.
Miongoni mwa mikoa hiyo ni pamoja na Arusha, Kilimanjaro, Simiyu, Manyara, Tabora, Mara, Kagera, Lindi, Mtwara, Morogoro, Singida na Katavi.
Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa 2013/14 ulifikia...
5 years ago
Michuzi
SERIKALI YATOA MIL 240 KWA AJILI YA MAABARA ZA SEKONDARI CHALINZE


……………………………………………………………………………………
NA MWAMVUA MWINYI, Chalinze
SERIKALI Kuu imetoa kiasi cha sh.milioni 240 ,kwa ajili ya kumalizia maabara nane katika za sekondari kwenye halmashauri ya Chalinze, wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani .
Fedha hizo zitatokana na bajeti ya mwaka wa 2020/2021, zinalenga kujenga vyumba hivyo katika shule 9 za sekondari, ambapo kila chumba kimoja kitatumia sh.milioni 30.
Kaimu Ofisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Chalinze, Irene Joseph aliiambia Kamati ya Siasa ya...
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Serikali yakana tishio la njaa Sudan.K
10 years ago
Habarileo19 Sep
Serikali imejipanga kukabili njaa-Bendera
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Hanang’ kuwa hakuna mwananchi atakayekufa kwa njaa kwa kuwa serikali imejipanga kukabiliana na hali hiyo.
9 years ago
Michuzi
Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi
5 years ago
BBCSwahili10 Apr
Virusi vya corona: Hifadhi nyingi barani Afrika zafungwa kuepuka maambukizi kwa nyani
11 years ago
Habarileo07 Apr
Serikali ‘yabana’ usajili sekondari
KUANZIA sasa, shule yoyote mpya isiyokuwa na maabara ya sayansi na maktaba haitasajiliwa na wala kuruhusiwa kutoa huduma; Serikali imeagiza.