Serikali inafanya mzaha na ugonjwa wa dengue
Nchi nzima imekumbwa na taharuki kutokana na watu zaidi ya 400 kuugua homa ya dengue na tayari watu watatu wamepoteza maisha, akiwamo daktari bingwa wa magonjwa ya akili aliyekuwa akifanya kazi Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Serikali yatahadharisha kuhusu ugonjwa wa Dengue
11 years ago
Mwananchi08 May
Serikali ilifanya siri ugonjwa wa dengue
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Ugonjwa wa Dengue wavamia Mwanza
UGONJWAwa homa ya Dengue ambao hadi sasa umesababisha vifo vya watu kadhaa Jijini Dar es Salaam, umeingia mkoani Mwanza. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Baraka Konisaga aliwaambia waandishi wa...
11 years ago
KwanzaJamii14 May
Janga la ugonjwa wa dengue unaosababishwa na mbu
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Utafiti chanjo ya ugonjwa wa dengue waonyesha matumaini
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Mzaha mzaha utumbua usaha milipuko ya mabomu Arusha
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Wizara ya Afya yaonya kuhusu ugonjwa wa dengue nchini
11 years ago
Dewji Blog13 May
Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Homa ya Dengue
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Charles Pallangyo.
Utangulizi
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa homa ya dengue yaani “dengue fever” hapa nchini.Ugonjwa huu umethibitishwabaada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa huu jijini Dar es Salaam kupelekwa kwenye maabara yetu ya Taifa Dar es salaam na kuthibitisha kuwa na...