Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Janga la ugonjwa wa dengue unaosababishwa na mbu

Wananchi wameaswa kuchukua hadhari juu ya ugonjwa wa dengue ambao dalili zake ziko sawa na zile za malaria. Mpaka sasa ugonjwa huo hauna tiba maalumu wala chanjo na njia pekee ya kukabiliana nao ni kutambua dalili zake kama vile homa, kupungukiwa maji au damu, kuumwa kichwa, maumivu ya viungo na uchovu. Mgonjwa anaweza kupoteza maisha endapo atachelewa kupatiwa matibabu. Mkuu wa Idara ya Habari wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Nsachris Mwamwaja alithibitisha kuwapo kwa ugonjwa huo...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ugonjwa wa retina ya macho unaosababishwa na kisukari

Jana Tanzania iliungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha Siku ya Afya ya Macho duniani, safari hii ikiwa na kauli mbiu isemayo Upofu wa Macho Utokanao na Kisukari Unazuilikia, Nenda Kapime.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mbu kupambana na homa ya Dengue

Watafiti nchini Brazil, wameachilia maelfu ya Mbu wenye viini vya Bakteria ili kupambana na homa ya Dengue ambayo ni kero nchini humo.

 

10 years ago

Habarileo

Malecela ataja chanzo mbu anayeleta dengue

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Dk Mwele MalecelaASILIMIA kubwa ya mazalio ya mbu Aedes aliyeambukiza virusi vya Dengue katika jiji la Dar es Salaam mwaka jana, huzaliwa kwenye vyombo vya plastiki na matairi ya magari, utafiti umebaini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ugonjwa wa Dengue wavamia Mwanza

UGONJWAwa homa ya Dengue ambao hadi sasa umesababisha vifo vya watu kadhaa Jijini Dar es  Salaam, umeingia mkoani Mwanza. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Baraka Konisaga aliwaambia waandishi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ilifanya siri ugonjwa wa dengue

Ugonjwa wa homa ya dengue ambao umezidi kusambaa mkoani Dar es Salaam na kuathiri wilaya zake tatu za Temeke, Ilala na Kinondoni umezua hofu na taharuki kubwa kwa wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali inafanya mzaha na ugonjwa wa dengue

Nchi nzima imekumbwa na taharuki kutokana na watu zaidi ya 400 kuugua homa ya dengue na tayari watu watatu wamepoteza maisha, akiwamo daktari bingwa wa magonjwa ya akili aliyekuwa akifanya kazi Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yatahadharisha kuhusu ugonjwa wa Dengue

Serikali jijini Dar es Salaam imetoa tahadhari kuhusu kuwepo kwa dalili za kufumuka kwa ugonjwa wa Dengue katika kipindi hiki cha mvua, huku ikiwataka wananchi wanaoishi mabondeni kuhama maeneo yao ili kunusuru maisha yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Utafiti chanjo ya ugonjwa wa dengue waonyesha matumaini

Majaribio ya chanjo mpya ya ugonjwa wa homa ya dengue yameonyesha mafanikio kwa asilimia 56, miezi kadhaa baada ya Taifa kukumbwa na janga la ugonjwa huo ulioathiri watu zaidi ya 400 na kusababisha vifo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani