Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Serikali ishushe bei vifaa vya ujenzi’

MBUNGE wa Viti Maalumu, Rebecca Mngodo (CHADEMA), ameitaka serikali kushusha bei ya vifaa vya ujenzi ili wananchi waishio vijijini waweze kufaidika na huduma ya umeme. Kauli hiyo aliitoa jana bungeni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Dk Magufuli akishinda Urais aahidi Serikali kujenga reli kutoka Mtwara hadii Mbamba Bay Ruvuma, kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi

 Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli  wilayani Masasi jana. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali  itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma.

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara jana.

 Mfuasi wa CCM  akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.

 Wananchi...

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI AKISHINDA URAIS AAHIDI SERIKALI KUJENGA RELI KUTOKA MTWARA HADI MBAMBA BAY RUVUMA, KUPUNGUZA BEI YA VIFAA VYA UJENZI

 Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli  wilayani Masasi leo. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali  itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara leo. Mfuasi wa CCM  akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.
 Wananchi...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AFUNGA KAZI MKOANI MTWARA,AHIDI KUSHUSHA BEI YA VIFAA VYA UJENZI

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli,akiwahutubia wananchi wa mji wa Mtwara waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza kwenye mkutano wa kampeni unaoendelea jioni hii katika uwanja wa Mashujaa. 
Dkt John Magufuli amesema kuwa iwapo atachaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi mkuu mwaka huu ,Serikali yake itashusha bei ya vifaa vya ujenzi hasa bati na saruji,amesema kuwa serikali yake inataka kurahisisha maisha ya watanzania wote na hivyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali iondoe kodi vifaa vya ujenzi — Bunge

KAMATI ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, imeitaka serikali kuondoa kodi kwenye vifaa vya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu unaoendeshwa na Shirika la Nyumba Tanzania (NHC). Kuondolewa kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Wakazi 200 Dar waitaka TANESCO ishushe bei ya umeme

UMOJA wa wakazi zaidi ya 200 wa Dar es Salaam wametoa siku kumi kwa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), pamoja na vyombo vingine vya maamuzi, kubatilisha maamuzi yake juu ya bei mpya ya umeme na irejeshwe bei iliyokuwepo.

 

10 years ago

Michuzi

TWIGA CEMENT YAMWAGA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MRADI WA UJENZI WA MAKAZI YA ASKARI GEREZA WAZO JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alphonso Rodrudges(suti ya bluu) akikabidhi mfano wa hundi yenye kiasi cha Tsh. Millioni Miamoja kwa Uongozi wa Jeshi la Magereza zitakazotumika katika ujenzi wa nyumba zenye hadhi kwa Maofisa na Askari wa Gereza Wazo,Wilayani Kinondoni (wa pili kulia) ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(wa tatu kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja. hafla hiyo imefanyika leo Novemba 17, 2014...

 

10 years ago

Vijimambo

TWIGA CEMENT YAMWAGA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MRADI WA UJENZI WA MAKAZI YA ASKARI GEREZA WAZO JIJINI DAR ES SALAAM

  Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alphonso Rodrudges(suti ya bluu) akikabidhi mfano wa hundi yenye kiasi cha Tsh. Millioni Miamoja kwa Uongozi wa Jeshi la Magereza zitakazotumika katika ujenzi wa nyumba zenye hadhi kwa Maofisa na Askari wa Gereza Wazo,Wilayani Kinondoni (wa pili kulia) ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(wa tatu kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja. hafla hiyo imefanyika leo Novemba 17, 2014...

 

5 years ago

Michuzi

ALLIANCE ONE YATOA VIFAA VYA UJENZI VYA MILIONI 23.9 KWA WILAYA MBILI ZA MKOA WA TABORA

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(katikati) akizungumza na waandishi wa habri leo wakati wa kupokea vifaa vya ujenzi kwa ajili ya Wilayaya Uyui na Tabora kutoka Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One Tanzania (AOTTL) vyenye thamani ya shilingi milioni 23.9.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (wa tatu kutoka kulia) akiipokea nondo za ujenzi kwa ajili ya Wilaya ya Uyui na Tabora kutoka MKurugenzi wa Uzalishaji wa Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One Tanzania (AOTTL) David Mayunga (wa pili...

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za vifaa vya shule zapanda kiholela Tanga

Ongezeko la bei za sare na vifaa vya shule linalofanywa na wafanyabiashara jijini hapa, limewaweka wazazi njiapanda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani