Serikali isijiingize kukandamiza uhuru wa habari
Serikali inakusudia kuwasilisha bungeni, miswada miwili ya Haki ya Kupata Habari na ule wa Huduma za Vyombo vya Habari ili iweze kupitishwa kuwa sheria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Apr
Ataka Serikali kuhakikisha uhuru wa habari kusaidia wananchi
MWANDISHI mkongwe Jenerali Ulimwengu alinyakua tuzo ya Utumishi Uliotukuka katika Tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kutokana na mchango wake katika tasnia ya habari na kukemea maovu bila woga kwa kutumia kalamu yake.
11 years ago
Mwananchi04 Jun
DIRA: Serikali isiogope uhuru wa vyombo vya habari
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Serikali yaahidi kushirikiana na mashirika na wadau wa habari kutokomeza vitendo vya ukatili kwa waandishi wa habari
Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (katikati) akisalimiana na Mjumbe wa bodi udhamini ya Mtandao wa Radio Jamii Tanzania (COMNETA), Balozi Mstaafu, Christopher Liundi alipowasili katika mkutano wa kitaifa wa mashauriano kuhusu hali ya usalama wa waandishi wa habari, uzinduzi wa kikosi kazi cha usalama wa waandishi wa habari na uandishi unaozingatia maadili ulioandaliwa na UNESCO. Kulia ni...
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Upinzani wataka sheria ya uhuru wa habari
KAMBI Rasmi ya Upinzani, imeitaka Serikali kuharakisha mchakato wa kupata sheria mpya ya uhuru wa vyombo vya habari ili kufuta sheria kandamizi zinazominya uhuru wa habari. Kauli hiyo ilitolewa jana...
10 years ago
Michuzi05 May
SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
![Mwanahabari na Bloga, Majid Mjengwa akizungumza katika mkutano huo.](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/ESfPjd1dUaWIFZASS9mAqw7ETZwecz5byo3jTpOI6uUbFQ0ru5Gr5QwjvdZcK1DaaPu53vQXq4D7o7Ngg2YYQcclSaZakDGHNdINhwMpo2JlO93n4Y8=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/DSC_0853.jpg)
10 years ago
Habarileo23 Jun
Mahiga aapa kulinda uhuru wa habari
ALIYEKUWA Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Augustine Maiga (70) ameahidi kuheshimu na kulinda uhuru wa vyombo vya habari kwa kuzirekebisha sheria zote zinazolalamikiwa na wadau kuminya uhuru huo endapo nia yake ya kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania itafanikiwa.
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Uhuru wa habari kuadhimishwa Arusha Mei 3
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Tutatetea kwa nguvu uhuru wa habari-Mukajanga