Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahiga aapa kulinda uhuru wa habari

Dk Augustine Maiga ALIYEKUWA Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Augustine Maiga (70) ameahidi kuheshimu na kulinda uhuru wa vyombo vya habari kwa kuzirekebisha sheria zote zinazolalamikiwa na wadau kuminya uhuru huo endapo nia yake ya kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania itafanikiwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Magufuli aapa kulinda Muungano kwa nguvu

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan wakiwapungia mamia ya wananchi waliojitokeza kuwapokea walipokwenda kutambulishwa kwenye ofisi ya CCM Zanzibar jana. (Na Mpigapicha Wetu).MGOMBEA wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema ataulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa mwaka 1964 kwa lengo la kuleta mshikamano na maendeleo kwa wananchi wa pande mbili za muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upinzani wataka sheria ya uhuru wa habari

KAMBI Rasmi ya Upinzani, imeitaka Serikali kuharakisha mchakato wa kupata sheria mpya ya uhuru wa vyombo vya habari ili  kufuta sheria kandamizi  zinazominya uhuru wa habari. Kauli hiyo ilitolewa jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Uhuru wa habari kuadhimishwa Arusha Mei 3

>Uhuru wa vyombo vya habari kwa utawala bora na maendeleo ni kaulimbiu itakayoongoza maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ambayo hapa nchini yatafanyika jijini Arusha.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali isijiingize kukandamiza uhuru wa habari

Serikali inakusudia kuwasilisha bungeni, miswada miwili ya Haki ya Kupata Habari na ule wa Huduma za Vyombo vya Habari ili iweze kupitishwa kuwa sheria.

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

Mwanahabari na Bloga, Majid Mjengwa akizungumza katika mkutano huo.Mwanahabari na Bloga, Maggid Mjengwa akizungumza katika mkutano huo.Na Joachim Mushi, MorogoroUMOJA wa Nchi za Ulaya nchini Tanzania (EU) umepinga vikali vitendo vya kikatili na unyanyasaji ambavyo wamekuwa wakifanyiwa waandishi wa habari na vyombo vya dola vya Serikali wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao ambapo ilitokea mwanahabari mmoja kuuwawa. Alisema hawatachoka kukemea matukio hayo ya unyanyasaji kwani yanafifisha uhuru wa habari.Akizungumza jana mjini Morogoro katika Maadhimisho ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Tutatetea kwa nguvu uhuru wa habari-Mukajanga

Katibu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga amesema uwepo wa wanahabari na wadau wa habari kwenye Bunge la Katiba kutasaidia kutetea kwa nguvu zake zote vipengele vinavyotoa haki ya uhuru wa habari kwenye Rasimu ya Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge likatae miswada inayominya uhuru wa habari

Serikali juzi iliwasilisha bungeni Muswada wa Sheria unaotishia uhuru wa vyombo vya habari, lakini ikauchomoa baadaye jioni baada ya kugundua kwamba umestukiwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.

 

11 years ago

Mwananchi

KUTOKA ZANZIBAR: Miaka 50 ya Muungano na uhuru wa habari

>Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeadhimisha nusu karne ya Muungano wa iliyokuwa Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika sherehe zilizofanyika Aprili 26 Uwanja wa Uhuru, Dar es  Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani