Serikali yahimiza unyonyeshwaji wa watoto

Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Dkt. Neema Rusibamayila toka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji inayotarajiwa kuanza Agosti Mosi hadi Saba ambapo kitaifa itafanyika mkoani Dodoma.
Na. Eliphace Marwa – Maelezo.
Katika kuzingatia na kuboresha afya ya mtoto, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeendelea kuwahimiza wanawake kuzingatia utunzaji na ustawishaji wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Serikali yahimiza vijana kujitolea
Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vuzo aliyemwakilisha Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akiongea na na Vijana (hawapo pichani) kutoka taasisi mbalimbali na mashirika yasiyokuwa yakiserikali wanaofanyaka kazi za kujitolea kwenye jamii wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea kimataifa yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Siku ya Kujitolea duniani...
10 years ago
GPL
SERIKALI YAHIMIZA VIJANA KUJITOLEA
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Serikali yahimiza Waandishi nchini kuandika habari kwa kubobea kwenye Sekta
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Juma Nkamia.
Na Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA
SERIKALI imewashauri Waandishi wa Habari nchini kuchagua na kubobea katika sekta mbalimbali maalum ili kuinua kiwango cha taaluma ya habari na kuwapa wananchi taarifa muhimu kwa umakini zaidi katika nyanja husika ili kuleta maendeleo ya taifa.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Juma Nkamia alipokuwa akijibu swali la msingi la Mhe. Haroub...
9 years ago
MichuziSERIKALI YAHIMIZA UJENZI WA VIWANDA VIDOGO VIDOGO NCHINI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Seleman Jaffo alitoa kauli hiyo tarehe 22 Decemba, 2015 wakati alipotembelea taasisi zilizo chini ya Wizara yake ambazo LAPF, na Bodi ya Mikopo ya...
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
‘Serikali ichunguze watoto kutopelekwa shule’
SERIKALI imetakiwa kuacha kuwakamata wazazi ambao watoto wao wamefaulu kujiunga na kidato cha kwanza, lakini hadi sasa hawajaripoti na badala yake ichunguze kinachosababisha washindwe kuwapeleka shule. Akizungumza na Tanzania Daima...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
TCRA yahimiza malipo
KUTOKANA na kucheleweshwa kwa malipo ya ada za leseni, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma za mawasiliano nchini kulipa madeni kwa wakati. Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu TCRA kwa...
10 years ago
Mtanzania28 Mar
Serikali yafunga vituo vya watoto yatima
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imevifunga baadhi ya vituo vya kulelea watoto yatima katika maeneo mbalimbali nchini kwa kukiuka sheria ya uanzishwaji wake na wamiliki kujinufaisha binafsi.
Sambamba na hilo, pia imefuta kutoka kwenye orodha ya kutoa huduma ya kulea watoto yatima baadhi ya vituo vya aina hiyo vilivyo kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Kilimanjaro, huku vile vya mkoani Iringa vikiendelea kufanyiwa uchunguzi.
Tangazo la kufungwa na kufutwa kwa vituo hivyo...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
‘Serikali iwabane wazazi wanaoficha watoto walemavu’
SERIKALI mkoani Pwani imeombwa kuwachukulia hatua kali za kisheria wazazi wenye tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu kwani kitendo hicho kinasababisha kuwanyima haki zao za msingi ikiwemo ya kupata elimu....
10 years ago
StarTV29 Dec
Serikali za mitaa zatakiwa kutazama usalama wa watoto.
Na Maliganya Charahani,
Mwanza.
Serikali za mitaa bado hazijawekeza kudhibiti ipasavyo suala la ulinzi na usalama wa watoto hatua ambayo inaendeleza wimbi la ukatili kwa makundi ya watoto chini ya umri wa miaka kumi na mitano na kusababisha wengi wao kukimbilia mitaani na kulelewa kwenye vituo.
Hivi sasa zaidi ya watoto elfu kumi na moja wanaishi na kulelewa kwenye vituo mbalimbali hapa nchini ambapo zaidi ya vituo 180 havijasajiliwa hali ambayo inatia shaka makuzi na malezi sahihi ya...