Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA yahimiza malipo

KUTOKANA na kucheleweshwa kwa malipo ya ada za leseni, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma za mawasiliano nchini kulipa madeni kwa wakati. Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu TCRA kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

TPA yahimiza malipo ya kielekroniki

WATUMIAJI wa Bandari ya Dar es Salaam wametakiwa kuongeza kasi ya utumiaji wa mifumo ya kielektroniki kulipia huduma zinazotolewa eneo hilo ili kuongeza ufanisi wa kazi na kuondoa ucheleweshaji wa uondoaji wa mizigo bandarini.

Akizungumza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga, alisema matumizi sahihi ya njia za kielektroniki yatasaidia kwa kiwango kikubwa kuongeza ufanisi wa kazi katika bandari hiyo.

Mhanga alikuwa akizungumza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yahimiza matumizi ya gesi

KAMPUNI ya huduma za umeme wa jua (solar) nchini, Katomu Investment Limited, imewahimiza Watanzania kupikia gesi majumbani mwao ili kuepuka gharama kubwa za kuni, mkaa na kuangamiza misitu. Akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yahimiza unyonyeshwaji wa watoto

Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Dkt. Neema Rusibamayila toka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji inayotarajiwa kuanza Agosti Mosi hadi Saba ambapo kitaifa itafanyika mkoani Dodoma.
Na. Eliphace Marwa – Maelezo.
Katika kuzingatia na kuboresha afya ya mtoto, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeendelea kuwahimiza wanawake kuzingatia utunzaji na ustawishaji wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yahimiza vijana kujitolea

DSC_0277

Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vuzo aliyemwakilisha Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akiongea na na Vijana (hawapo pichani)  kutoka taasisi mbalimbali na mashirika yasiyokuwa yakiserikali wanaofanyaka kazi za kujitolea kwenye jamii wakati wa  maadhimisho ya siku ya kujitolea kimataifa yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Siku ya Kujitolea duniani...

 

11 years ago

Mwananchi

Tamwa yahimiza kuandika unyanyasaji

Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa), kimewataka waandishi wa habari kuandika habari za matukio ya unyanyasaji wa jinsia kwa wingi ili jamii ipate ufahamu wa matukio hayo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NEC yahimiza wananchi kutoa maoni

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kama wananchi na wadau wanataka mfumo wa uteuzi wa wajumbe wake ubadilike, ni vema wakatoa maoni kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Mwenyekiti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yahimiza wanachama kugombea uongozi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga kimewahimiza wanachama wake kugombea uongozi katika nafasi za udiwani na uenyeviti wa serikali za mitaa katika chaguzi zijazo ili kuwaondolea kero...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YAHIMIZA VIJANA KUJITOLEA‏

Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vuzo aliyemwakilisha Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akiongea na na Vijana (hawapo pichani) kutoka taasisi mbalimbali na mashirika yasiyokuwa yakiserikali wanaofanyaka kazi za kujitolea kwenye jamii wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea kimataifa...

 

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA YAHIMIZA USHIRIKIANO KATIKAKUWASAIDIA WAKIMBIZI

Balozi Tuvako Manongi akizungumza wakati wa Majadiliano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu dhana ya kuwalinda raia (R2P) majadiliano yaliyojielekeza katika kutathimini mafanikio na changamoto za utekelezi wa dhana hiyo ikiwa ni miaka kumi tangu kuasisiwa kwake.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akizungumza wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu dhana ya wajibu wa kuwalinda raia, ambapo alisema licha ya kuasisiwa kwa dhana hiyo dunia bado imeendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani