Tamwa yahimiza kuandika unyanyasaji
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa), kimewataka waandishi wa habari kuandika habari za matukio ya unyanyasaji wa jinsia kwa wingi ili jamii ipate ufahamu wa matukio hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jan
IOGT, Tamwa zielekeze nguvu vijiji kukabiliana na unyanyasaji
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
TAMWA yawataka waandishi wa habari kujikita kuripoti unyanyasaji wa kijinsia
Mkufunzi Wence Mushi akitoa elimu kwa wanahabari waliokutana mkoani Iringa.
Na Fredy Mgunda, Iringa
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.
Msisitizo huo ulitolewa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa waandishi wa habari wa mikoa ya nyanda za juu kusini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8XZ9tNduvb24yYI2W8ODHPTJ8zBh-bdkDY14VImemkZYJpqkRCDhj6N4tfKDOsVn*-WrTSMwMOr7p85CTwxixqYY1TenYQ0P/msoka2.jpg?width=650)
ENDELEENI KUFICHUA UNYANYASAJI KWA WANAWAKE, WATOTO – TAMWA
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Serikali yahimiza Waandishi nchini kuandika habari kwa kubobea kwenye Sekta
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Juma Nkamia.
Na Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA
SERIKALI imewashauri Waandishi wa Habari nchini kuchagua na kubobea katika sekta mbalimbali maalum ili kuinua kiwango cha taaluma ya habari na kuwapa wananchi taarifa muhimu kwa umakini zaidi katika nyanja husika ili kuleta maendeleo ya taifa.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Juma Nkamia alipokuwa akijibu swali la msingi la Mhe. Haroub...
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
TAMWA yawapongeza wakazi wa Mbezi Msuguri kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia
Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka.
Na Mwandishi wetu
CHAMA Cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimewapongeza wakazi wa mtaa wa Msigwa-Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Saaam, kwa kuchukua hatua za pamoja kulaani kitendo cha kulawiti kilichofanywa na Joachim Anset Shirima (40) kwa mtoto mwenye umri wa miaka (4).
Taarifa ilitolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa TAMWA, Valerie Msoka, alisema Shirima alifanya tukio hilo hivi karibuni.
Alisema tukio hilo...
10 years ago
Michuzi24 Feb
TAMWA YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI JUU YA KUPAMBANA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Na Fredy Mgunda, Iringa
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.Msisitizo huo...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
TCRA yahimiza malipo
KUTOKANA na kucheleweshwa kwa malipo ya ada za leseni, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma za mawasiliano nchini kulipa madeni kwa wakati. Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu TCRA kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ekZbrFN6naU/VbjAKmz57hI/AAAAAAAHsdE/aTL1gyiXOu0/s72-c/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
Serikali yahimiza unyonyeshwaji wa watoto
![](http://1.bp.blogspot.com/-ekZbrFN6naU/VbjAKmz57hI/AAAAAAAHsdE/aTL1gyiXOu0/s640/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
Na. Eliphace Marwa – Maelezo.
Katika kuzingatia na kuboresha afya ya mtoto, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeendelea kuwahimiza wanawake kuzingatia utunzaji na ustawishaji wa...
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
TPA yahimiza malipo ya kielekroniki
WATUMIAJI wa Bandari ya Dar es Salaam wametakiwa kuongeza kasi ya utumiaji wa mifumo ya kielektroniki kulipia huduma zinazotolewa eneo hilo ili kuongeza ufanisi wa kazi na kuondoa ucheleweshaji wa uondoaji wa mizigo bandarini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga, alisema matumizi sahihi ya njia za kielektroniki yatasaidia kwa kiwango kikubwa kuongeza ufanisi wa kazi katika bandari hiyo.
Mhanga alikuwa akizungumza...