Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni yahimiza matumizi ya gesi

KAMPUNI ya huduma za umeme wa jua (solar) nchini, Katomu Investment Limited, imewahimiza Watanzania kupikia gesi majumbani mwao ili kuepuka gharama kubwa za kuni, mkaa na kuangamiza misitu. Akizungumza na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yaleta teknolojia mpya matumizi ya gesi

KAMPUNI ya nishati inayomilikiwa na Watanzania, GH Energy Resources Limited, imeleta teknolojia mpya ya kupunguza matumizi ya gesi majumbani na kwenye biashara kwa lengo la kupunguza kasi ya uharibifu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Basata yahimiza matumizi ya vyombo vya muziki

>Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema kuwa kutokana na ukubwa na uzoefu wa kuandaa matamasha ni bora Kampuni ya Msama Promotions imiliki vyombo vya muziki.

 

5 years ago

Michuzi

MATUMIZI YA GESI ASILIA MAJUMBANI WATEJA WA AWALI KUUNGANISHWA BURE

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani,(katikati)akipata maelezo ya namna mita ya kupima gesi asilia kwa matumizi ya nyumbani, inayofanya kazi, kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa shirika la Maendeleo ya Petroli nchini( TPDC)( kulia), katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa miundombinu ya usambazaji gesi asilia kwa matumizi ya majumbani katika eneo la Mnazi Mmoja Mkoani Lindi

Baadhi ya nyumba zikiwa zimefungiwa mita ya za kupima matumizi ya gesi asilia kwa kwa ajili ya kupikia,Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Kitwanga afungua semina kuhusu matumizi ya gesi asilia nchini

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga akifungua rasmi semina kuhusu matumizi ya gesi asilia iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Balozi wa Japan Tanzania, Masaki Okada akizungumza na wadau na wataalamu wa gesi asilia (hawapo pichani) waliohudhuria semina ya matumizi ya gesi asilia iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena ya jijini Dar es Salaam.Wataalamu na wadau wa gesi asilia kutoka Japan na Tanzania wakimsikiliza Naibu Waziri wa...

 

10 years ago

Habarileo

Kampuni ya gesi yasaidia mifuko 1,500 ya saruji

KAMPUNI ya uchimbaji wa gesi ya Pan African Energy imetoa msaada wa mifuko 1,500 ya saruji yenye thamani ya Sh milioni 18 kwa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa ili kuwezesha ujenzi wa maabara katika shule zake za sekondari.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC inatangaza uzinduzi wa IPO

PHOTO SWALA1

Mkurugenzi Mtendaji wa  Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, David Mestres Ridge (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu ufunguzi wa ofa ya awali kwa umma ijulikanayo kwa kifupi (IPO) ambayo itakuwa na hisa za kawaida,9,600,000. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa ARCH Financial $ Investment Adivisory Limited,Iyen Nsemwa. (Na Mpiga picha Wetu)

PHOTO SWALA2

Mkurugenzi wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, Abdullah Mwinyi (katikati),...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MAFUTA NA GESI YA SWALA (TANZANIA) PLC INATANGAZA UZINDUZI WA IPO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, David Mestres Ridge (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu ufunguzi wa ofa ya awali kwa umma ijulikanayo kwa kifupi (IPO) ambayo itakuwa na hisa za kawaida,9,600,000. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa ARCH Financial $ Investment Adivisory Limited,Iyen Nsemwa. Mkurugenzi wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania) PLC, Abdullah Mwinyi (katikati), akizungumza katika...

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala yakaribishwa rasmi Soko la Hisa la Dar

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.Alhaj Ali HAssan Mwinyi akigonga kengele kuashiria kuingia rasmi kwa kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala kwenye Soko la Hisa la Dar es salaam. Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. David Mestres akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar Es Salaam. Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest...

 

10 years ago

Michuzi

TPDC, KAMPUNI ZA WENTWORTH, MAUREL & PROM WASAINI MKATABA WA KUUZIANA GESI

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (wa nne kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WENTWORTH inayochimba gesi katika eneo la Mnazi Bay Mkoani Mtwara , Robert MacBean (wa tatu kushoto) mara baada ya kusaini Makubaliano ya Mkataba wa Kuuziana Gesi kati yake na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Wengine katika picha ni baadhi wa Watendaji Wakuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania TPDC na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani