Serikali za mitaa zatakiwa kutazama usalama wa watoto.
Na Maliganya Charahani,
Mwanza.
Serikali za mitaa bado hazijawekeza kudhibiti ipasavyo suala la ulinzi na usalama wa watoto hatua ambayo inaendeleza wimbi la ukatili kwa makundi ya watoto chini ya umri wa miaka kumi na mitano na kusababisha wengi wao kukimbilia mitaani na kulelewa kwenye vituo.
Hivi sasa zaidi ya watoto elfu kumi na moja wanaishi na kulelewa kwenye vituo mbalimbali hapa nchini ambapo zaidi ya vituo 180 havijasajiliwa hali ambayo inatia shaka makuzi na malezi sahihi ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV21 Aug
Serikali za vijiji, mitaa, vitongoji zatakiwa kuwajibika
Serikali za vijiji, mitaa na vitongoji nchini zimetakiwa kuweka utaratibu wa kuwatambua watoto wenye ulemavu katika maeneo yao ili kuhakikisha kuwa wanaandikishwa shuleni badala ya kuacha jukumu hilo kwa wazazi na walezi ambao baadhi yao wanawaficha majumbani kwa imani potofu.
Wito huo umetolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya walemavu mkoani Singida wanaotekeleza mradi wa My Rights wilayani Iramba baada ya kuwatambua watoto 15 wenye ulemavu ambao licha ya kuwa na umri wa kwenda shule...
10 years ago
Habarileo07 Aug
Serikali za mitaa zatakiwa kuanza kuhamilisha ng’ombe
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuanzisha vitengo vidogo vitakavyoshughulikia uhamilishaji wa ng’ombe ili wafugaji wengi waweze kutumia huduma hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Viongozi wa serikali za mitaa wanapaswa kulinda watoto dhidi ya ndoa za utotoni (2)
WIKI iliyopita katika tafakuri yetu hii, tulianza kujadili matokeo ya kukithiri kwa mimba za utotoni kama janga la kitaifa ambalo linasababishwa na kuwepo kwa mifumo ya kiutawala ambayo haijali na kuzingatia...
11 years ago
Michuzi
TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014


9 years ago
StarTV12 Nov
Mashirika,Asasi zatakiwa kuokoa maisha ya watoto njiti
Kufuatia kuzidi kuongezeka kwa vifo vya watoto njiti nchini takribani watoto laki mbili na kumi wanaozaliwa kwa mwaka ni elfu tisa pekee ndiyo wanafanikiwa kupata huduma za matibabu na kuishi.
Kutokana na ongezeko hilo la vifo vya watoto njiti, mashirika pamoja na asasi binafsi zimetakiwa kujitokeza kutoa misaada ya mashine za kusaidia kupumua na za kutolea uchafu kwa watoto hao na si mpaka kuisubiri Serikali kufanya kazi hiyo.
Akibainisha hayo mshirika wa Doris Moleli Faundation amesema...
9 years ago
StarTV24 Dec
Taasisi, mashirika zatakiwa kuwajali watoto wa mitaani msimu wa sikukuu
Kukoseka kwa jitihada thabiti za jamii katika kuunga mkono Taasisi zisizo za kiserikali na Mashirika ya mbali mbali yanayojihusisha na watoto wa mitaani kuwarudisha majumbani kunazorotesha juhudi za kupunguza ongezeko la watoto wanaokimbila mijini na kuishi mitaani ambao ni nguvu kazi ya taifa kwa siku za usoni.
Watoto hao wamekuwa wakikosa haki zao za msingi ikiwemo elimu na malezi ya wazazi ndugu na jamaa na kuishi katika mazingira magumu na hatarishi.
Mkurugenzi wa shirika lisilo la...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Serikali, sekta binafsi zatakiwa kushirikiana
9 years ago
Habarileo05 Dec
Serikali zatakiwa kujenga nyumba nafuu
SERIKALI za nchi za Afrika zimeshauriwa kuja na mpango kabambe wa ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu, zitakazowanufaisha wananchi wake badala ya kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kifahari.
10 years ago
Michuzi
Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.