Serikali za mitaa zatakiwa kuanza kuhamilisha ng’ombe
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuanzisha vitengo vidogo vitakavyoshughulikia uhamilishaji wa ng’ombe ili wafugaji wengi waweze kutumia huduma hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV29 Dec
Serikali za mitaa zatakiwa kutazama usalama wa watoto.
Na Maliganya Charahani,
Mwanza.
Serikali za mitaa bado hazijawekeza kudhibiti ipasavyo suala la ulinzi na usalama wa watoto hatua ambayo inaendeleza wimbi la ukatili kwa makundi ya watoto chini ya umri wa miaka kumi na mitano na kusababisha wengi wao kukimbilia mitaani na kulelewa kwenye vituo.
Hivi sasa zaidi ya watoto elfu kumi na moja wanaishi na kulelewa kwenye vituo mbalimbali hapa nchini ambapo zaidi ya vituo 180 havijasajiliwa hali ambayo inatia shaka makuzi na malezi sahihi ya...
9 years ago
StarTV21 Aug
Serikali za vijiji, mitaa, vitongoji zatakiwa kuwajibika
Serikali za vijiji, mitaa na vitongoji nchini zimetakiwa kuweka utaratibu wa kuwatambua watoto wenye ulemavu katika maeneo yao ili kuhakikisha kuwa wanaandikishwa shuleni badala ya kuacha jukumu hilo kwa wazazi na walezi ambao baadhi yao wanawaficha majumbani kwa imani potofu.
Wito huo umetolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya walemavu mkoani Singida wanaotekeleza mradi wa My Rights wilayani Iramba baada ya kuwatambua watoto 15 wenye ulemavu ambao licha ya kuwa na umri wa kwenda shule...
10 years ago
Habarileo21 Nov
Kampeni Serikali za Mitaa kuanza Novemba 30
KAMPENI kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika kote nchini Desemba 14, mwaka huu zitafanyika kwa wiki mbili kuanzia Novemba 30.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s72-c/MMGM8382.jpg)
TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s1600/MMGM8382.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-nhubQhZpWwc/U8kYyb0ubPI/AAAAAAAF3Yc/vWolIRDUZ5Q/s1600/MMGM8396.jpg)
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Serikali, sekta binafsi zatakiwa kushirikiana
9 years ago
Habarileo05 Dec
Serikali zatakiwa kujenga nyumba nafuu
SERIKALI za nchi za Afrika zimeshauriwa kuja na mpango kabambe wa ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu, zitakazowanufaisha wananchi wake badala ya kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kifahari.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qR3mZchJ2j4/VMzw1eLqr0I/AAAAAAAHAjQ/YXv1dH0-69E/s72-c/1.jpg)
Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.
10 years ago
Habarileo02 Jun
Taasisi za serikali zatakiwa kubadilisha barua pepe
TAASISI za Serikali nchini zimetakiwa kufanya mabadiliko katika mfumo wa barua pepe za serikali ili kuendana na mabadiliko ya sasa ya sayansi na teknolojia.
10 years ago
StarTV16 Dec
Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Na, Winifrida Ndunguru
Dar Es Salaam.
15 December 2014
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...