Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Serikali iwabane wazazi wanaoficha watoto walemavu’

SERIKALI mkoani Pwani imeombwa kuwachukulia hatua kali za kisheria wazazi wenye tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu kwani kitendo hicho kinasababisha  kuwanyima haki zao za msingi ikiwemo ya kupata elimu....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI ZA WALEMAVU

MOROGORO,
Kampuni ya Kibaran Resources inayojihusisha na utafiti wa uchimbaji wa madini ya Uno kwenye Kijiji cha Epanko, imetoa msaada wa baiskeli 30 za walemavu kwa watoto wenye ulemavu katika kata ya Mahenge Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro. Baiskeli hizo zimeundwa maalumu kwa watoto wanaoishi vijijini. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi baiskeli hizo, Grant Pierce, ambaye ni mkurugenzi wa Kampuni ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wito wa Serikali kwa wazazi; Wahamasisheni watoto wa kike kupenda masomo ya sayansi

>Suala la wanafunzi wa kike kutochangamkia au kuyapenda  masomo ya  sayansi,  teknolojia,  uhandisi na hesabu, ni changamoto inayozikumba  nchi  nyingi duniani ikiwamo Tanzania.

 

9 years ago

StarTV

Serikali za Vijiji kuwachukulia hatua wazazi, walezi wa watoto watakaoshindwa kuhudhuria masomo

Serikali za Vijiji mkoani Singida zimetakiwa kuhakikisha kuwa zinawachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi wa watoto watakaoshindwa kuhudhuria masomo hadi kuhitimu baada ya kuandikishwa kuanza elimu ya msingi pamoja na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani.

Mkuu wa mkoa huo Dokta Parseko Kone ametoa agizo hilo baada ya kubainika kuwa katika Wilaya ya Mkalama pekee, jumla ya wanafunzi 383 wa shule za Msingi na Sekondari wameacha masomo yao kwa kipindi cha kuanzia Januari...

 

10 years ago

Michuzi

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA IRINGA , SERIKALI YA TANZANIA YAPIGA MARUFUKU UJENZI WA MAJENGO YASIYO RAFIKI NA WALEMAVU

 Waziri  Lukuvi  akimkabidhi  mwanafunzi  wa shule ya Msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti  cha ushiriki mzuri wa siku ya  walemavumwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward BagandashwaKamishina  wa ustawi  wa jamii Bw Dunford Makala akitoa salam zakeWalemavu  nchini  wakiwa katika maandamano  leo  wakati wa kilele  cha siku ya  walemavu duniani kwa Tanzania maadhimisho hayo yamefanyika  mkoa  wa Iringa,kushoto ni mkalimani  wa  kujitolea  ambae ni Mtangazaji wa radio  Nuru Fm Bw ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la Usonji watakiwa kuwapenda watoto hao

Mama-Salma-Kikwete

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete.

Na Anna Nkinda – Maelezo

 Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la usonji (Autism) nchini wametakiwa kuwapenda, kuwatunza  na kuwapa mahitaji yao kama watoto wengine kwani ni makusudi na mapenzi ya Mwenyezi Mungu kuwapa watoto hao.

Mwito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati akiongea na walimu, walezi na wazazi wa watoto hao katika Shule ya Msingi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

10 years ago

Habarileo

‘Msifiche watoto walemavu’

TAASISI ya Tiba ya Mifupa (MOI) imewataka wazazi wenye watoto wadogo wenye matatizo ya miguu na mikono iliyopinda kuachana na mila potofu kwa kuwaficha, badala yake wawahishe hospitali ili kupata matibabu na kukua vizuri.

 

10 years ago

Michuzi

WANAOWAFICHA WATOTO WALEMAVU NCHINI WASHUGHULIKIWE

(Meneja msaidizi wa kituo cha walemavu cha Usa River Rehabilitation Centre,Sophia Moshi akibadilishana mawazo na meneja mkuu wa kituo hicho,Claus Heim).  Mahmoud Ahmad, ArushaSERIKALI imeombwa kuchukua hatua kali kwa baadhi ya wazazi nchini wenye tabia ya kuwaficha watoto wao wenye ulemavu hali ambayo imekuwa ikiwafanya wakose mahitaji ya msingi kama elimu na afya.
Ombi hilo limetolewa hivi karibuni na uongozi wa chuo cha walemavu cha Usa River Rehabilitation Centre  huku wakiiomba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msalaba Mwekundu yasaidia watoto walemavu

CHAMA cha Msalaba Mwekundu (Red Cross) Manispaa ya Temeke, kimetoa zaidi ya jozi 900 za viatu na sabuni za kuogea na kufulia kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi na viungo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani