WANAOWAFICHA WATOTO WALEMAVU NCHINI WASHUGHULIKIWE
![](http://3.bp.blogspot.com/-Rdn9YWzJVzE/VgEbIeHaMAI/AAAAAAAH6xo/jodfMwKabwk/s72-c/Shared%2Bleadership_%2BSophia%2BMoshi%2Band%2BClaus%2BHeim%25281%2529.jpg)
(Meneja msaidizi wa kituo cha walemavu cha Usa River Rehabilitation Centre,Sophia Moshi akibadilishana mawazo na meneja mkuu wa kituo hicho,Claus Heim). Mahmoud Ahmad, ArushaSERIKALI imeombwa kuchukua hatua kali kwa baadhi ya wazazi nchini wenye tabia ya kuwaficha watoto wao wenye ulemavu hali ambayo imekuwa ikiwafanya wakose mahitaji ya msingi kama elimu na afya.
Ombi hilo limetolewa hivi karibuni na uongozi wa chuo cha walemavu cha Usa River Rehabilitation Centre huku wakiiomba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
‘Wanaowaficha walemavu washitakiwe’
SERIKALI mkoani Pwani imeombwa kuwachukulia hatua za kisheria wazazi wenye tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu kwa kuwa kitendo hicho kinawanyima haki za msingi ikiwemo kusoma. Wito huo ulitolewa juzi...
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Tuwafichue wanaowaficha walemavu
BAADA ya vyombo vya habari kuandika mara kadhaa kuhusu taarifa za watu wenye ulemavu, bado vinatakiwa kufika vijijini ili kuibua watoto wenye ulemavu wanaofichwa majumbani na kukoseshwa haki za msingi....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycGpSjRawy16xZhKQZ4dRHkuPJegC3bfb7VwiZehHprWhkWl5cHHKKUAT1J55yupOgQTZIRarnUSdYMWQgz8YWng/wheelchair2.jpg?width=650)
WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI ZA WALEMAVU
10 years ago
Habarileo17 Jun
‘Msifiche watoto walemavu’
TAASISI ya Tiba ya Mifupa (MOI) imewataka wazazi wenye watoto wadogo wenye matatizo ya miguu na mikono iliyopinda kuachana na mila potofu kwa kuwaficha, badala yake wawahishe hospitali ili kupata matibabu na kukua vizuri.
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Msalaba Mwekundu yasaidia watoto walemavu
CHAMA cha Msalaba Mwekundu (Red Cross) Manispaa ya Temeke, kimetoa zaidi ya jozi 900 za viatu na sabuni za kuogea na kufulia kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi na viungo....
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YhYbj--ZTeU/VEvQBROABNI/AAAAAAAGtW0/GDyWkLFxguo/s72-c/unnamed%2B(73).jpg)
WATOTO WALEMAVU MAHENGE WANUFAIKA NA MSAADA WA BAISKELI
![](http://4.bp.blogspot.com/-YhYbj--ZTeU/VEvQBROABNI/AAAAAAAGtW0/GDyWkLFxguo/s1600/unnamed%2B(73).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-j47mUbKPPxM/VEvQBT1cCII/AAAAAAAGtW4/-ieNA8r5OnE/s1600/unnamed%2B(74).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-BpNknAAF8EU/VEvQBl1CI6I/AAAAAAAGtXA/_uB5xBvPRMQ/s1600/unnamed%2B(75).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
‘Serikali iwabane wazazi wanaoficha watoto walemavu’
SERIKALI mkoani Pwani imeombwa kuwachukulia hatua kali za kisheria wazazi wenye tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu kwani kitendo hicho kinasababisha kuwanyima haki zao za msingi ikiwemo ya kupata elimu....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq-GFYU*iWeN5xcDyE9o4YFDs5R2Z9jW-mrtsc-4Zp7a6-aXZZeJbkEkacSrQhCaYKHUXaMOQnK-Bx4czyA4fZRO/Mmojawawatotowenyeulemavualiyehudhuria.png?width=650)
HALMASHAURI MKOANI TANGA ZAAHIDI KUSAIDIA WATOTO WALEMAVU
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Watoto walemavu na albino moshi, walivyosaidiwa na juhudi za kibinafsi