Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaimarisha usikivu wa TBC kwa asilimia zaidi ya 73.

Serikali yaimarisha usikivu wa TBC kwa asilimia zaidi ya 73. Shamimu Nyaki-WHUSM, Dodoma Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni chombo cha Habari cha Umma chenye wajibu wa kuhabarisha kuelimisha pamoja na kueleza mikakati ya Serikali katika kuleta maendeleo kwa wananchi.

Katika kuhakikisha yote hayo yanafanyika Serikali inafanya juhudi kubwa za kuimarisha usikivu wa Shirika hilo katika mikoa yote ya Tanzania ili wananchi wapate taarifa sahihi zilizokusudiwa tena kwa wakati.

Moja ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM: Dk Shein anaongoza kwa zaidi ya asilimia 60

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema utafiti kilioufanya tangu kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unaonesha kuwa mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Dk Ali Mohamed Shein anaongoza kwa zaidi ya asilimia 60 dhidi ya wagombea wa vyama vingine.

 

11 years ago

GPL

NAPE: CCM ITASHINDA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 94 UCHAGUZI CHALINZE‏

Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze. Waandishi wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi na Nape katika mkutano na waandishi wa habari leo mjini Chalinze. Nape amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na… ...

 

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAFANIKIWA KWA ASILIMIA 98

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Hawa Ghasia akiwaeleza waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mafanikio ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana kote nchini ambapo umefanikiwa kwa asilimia 98%,kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini. Baadhi ya waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)...

 

11 years ago

Michuzi

Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) lapatiwa msaada wa Gari la kisasa la kurushia matangazo kutoka kwa Serikali ya China

 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara( wa pili kutoka kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya Gari la kurushia matangazo la TBC, kutoka kulia ni Makamu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya watu wa China Li Jingzao, Makamu wa Rais wa China Li Yunchao  na wa mwisho kushoto ni Mkurugenzi wa TBC Bw. Clement Mshana.   Gari la kisasa la kurushia matangazo ya moja kwa moja lililokabidhiwa kwa TBC likiwa katika viwanja vya Shirika hilo...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI IMEFANIKIWA KATIKA VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA KWA ASILIMIA 90


Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akikata utepe leo kuashiria uzinduzi wa kliniki ya Methadone katika Hospitali ya Bombo jijini Tanga.Kliniki hiyo imejengwa kwa thamani ya Sh milioni 17.Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigela na kushoto kwake ni Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA) James Kaji.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akikata utepe leo kuashiria uzinduzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI MKOA WA ARUSHA YAIMARISHA ULINZI NA USALAMA ZOEZI LA WAMACHINGA SAMUNGE


Wamachinga wakiwa kwenye eneo la Soko la Samunge wakijiandaa kuanza Ujenzi wa vibanda vyao Mara baada ya zoezi la kugawa maeneo lilipoanza picha Zote na Ahmed Mahmoud Arusha


Michoro ya mgao wa maeneo ya vibanda vya soko la Samunge kama vinavyoonekana Leo Mara baada ya zoezi hilo la ugawaji kuanza Jana na Leo huku wengine wakianza kama walivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha.













Ujenzi ukiendelea kama unavyoonekana pichani leo ndani ya eneo la soko la Samunge hilo ni eneo la Mashariki...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS AZINDUA UTOAJI WA HUDUMA KWA WALEMAVU WA USIKIVU (VIZIWI) JIJINI DAR.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akizindua rasmi utoaji wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi) uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini Marekani.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, Mwasisi na Rais wa Taasisi ya Hearing, William Austine, baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani