Serikali yakiri teknolojia ya BVR ‘kuchemsha’
Serikali imekiri kuwapo kwa upungufu katika uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo wa Teknolojia ya (BVR) wakati wa majaribio na kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inayoratibu zoezi hilo kulirudia maeneo yote litakapoanza rasmi mapema mwakani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
RT yakiri kuchemsha riadha taifa
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amekiri mbio za taifa kufanyika chini ya kiwango kutokana na kukosa maandalizi mazuri, hivyo kuwepo kwa dosari kiasi cha kushusha...
10 years ago
StarTV16 Dec
Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Na, Winifrida Ndunguru
Dar Es Salaam.
15 December 2014
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Serikali yakiri kupoteza mabilioni
SERIKALI imekiri kupoteza mabilioni ya fedha kila mwaka ambazo zinapaswa kulipwa kwa mujibu wa sheria na makampuni ya migodi nchini kama ushuru wa huduma kwa halmashauri zinazozunguka migodi hiyo. Naibu...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Serikali yakiri uhaba wa mitamba
SERIKALI imesema kuna uhaba wa upatikanaji wa mitamba nchini. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Kaika Telele, alipojibu swali la Mbunge wa...
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Serikali yakiri viongozi kusababisha migogoro
SERIKALI imekiri kuwapo kwa baadhi ya viongozi wa serikali ambao wamekuwa ni sehemu ya migogoro katika Wilaya ya Meatu. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahamoud Mgimwa, alitoa kauli hiyo...
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
Serikali yakiri makosa ya vurumai Nigeria
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Serikali yakiri matumizi mabaya ya fedha zake
11 years ago
Habarileo11 Dec
Serikali yakiri kutolipa posho ya mazingira magumu
BUNGE limeelezwa kuwa fedha za motisha zilizotengwa kwa ajili ya ajira mpya ya walimu wanaopelekwa katika halmashauri zenye mazingira magumu, hawakupewa. Hatua hiyo imeelezwa kutokana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kubaini kuwa walimu walioripoti katika halmashahuri hizo miaka iliyopita hawakupatiwa licha ya kuwa fedha hizo zilipitishwa katika Bunge la Bajeti la 2013/14.
11 years ago
Habarileo20 Dec
Serikali yakiri kutofikia malengo uzazi wa mpango
UZAZI wa mpango hadi sasa umefanikiwa kwa asilimia 27 tu, wakati lengo la Serikali kupitia utekelezaji wa Malengo ya Milenia (MDGs), ilikuwa ni kufikia asilimia 60 ifikapo mwaka 2015.