Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yakwaa kisiki Hifadhi ya Serengeti

>Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), imeizuia Serikali ya Tanzania kujenga barabara ya lami kupitia Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, ikieleza kuwa ujenzi huo utaathiri mazingira, maisha ya wanyamawwpori na baoanuai ya hifadhi hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali yakwaa kisiki kuizuia TLS mahakamani

Serikali jana ilijikuta ikikwaa kisiki mahakamani baada ya kushindwa kuzuia usikilizwaji wa maombi ya Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ya kutaka ipatiwe kibali cha kufungua kesi kupinga Bunge la Katiba.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Simba yakwaa kisiki Zanzibar

KLABU ya Simba imeshindwa kucheza mechi ya kirafiki wiki hii visiwani Zanzibar baada ya kukosa timu yenye ubora kwa ajili ya kupima kikosi chake.

Rais wa Simba, Evans Aveva, alisema jana kuwa kocha wao, Dylan Kerr, alitaka kucheza mchezo wa kirafiki mwishoni mwa wiki hii, imeshindikana baada ya kukosa timu nzuri ya kucheza nayo.

“Unajua timu nyingi zipo hapa Dar es Salaam zinashiriki michuano ya Kagame, na timu ambayo tulikua tunategemea kucheza nao ni KMKM ndio kidogo ingetupa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Man United yakwaa kisiki

Ligi kuu ya England jana usiku Manchester United ilijikuta ikibanwa mbavu ugenini kwa Westbromwich Albion katika sare ya 2-2.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa Mbugani” wa kampeni ya Tutoke na Serengeti akila bata ndani ya hifadhi ya Serengeti

PIC 1

Mshindi wa mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Gabriel Robert Moriale (Kulia) akiwa na kaka yake Bw.Joshua Robert Moriale (Kushoto) walipowasili mamlaka  ya hifadhi ya Ngorongoro jijini Arusha tayari kwa kuanza safari ya kwenda Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kukamilisha mtoko wao wa siku tatu ndani ya hifadhi hiyo. Robert aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Tembo auawa hifadhi ya Serengeti

Pamoja na jitihada za Serikali katika kukabiliana na ujangili, tembo mmoja ameuawa katika Hifadhi ya Serengeti.

 

10 years ago

GPL

MAJANGILI WANASWA HIFADHI YA TAIFA SERENGETI

Nyama ya swala aliyeuawa na majangili ikiwa kwenye gari.
Majangiri wakipandishwa kwenye gari la askari wa wanyamapoli. Gari la askari wa wanayamapoli likiwapeleka majangiri katika Kituo cha Polisi cha Bunda.…

 

11 years ago

Mwananchi

Watalii bilionea watembelea Hifadhi ya Serengeti

Watalii bilionea 100 kutoka nchi za Ulaya na Marekani wanaotumia ndege binafsi aina ya Boeing BBJ 737 HB-11Q wametembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuisifia, wakisema ni moja ya urithi wa dunia unaostahili kutunzwa kwa faida ya vizazi vya sasa na vijavyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mshindi wa pili “Mtoko wa Mbugani” akivinjari ndani ya hifadhi ya Serengeti

Pic 1

Mshindi wa pili wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Deogratias Peter Mbogole (kushoto) akiwa na rafiki yake Goodluck Shirima(kulia) ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti kukamilisha mtoko wao wa siku mbili ndani ya hifadhi hiyo…Hapa ni Tarangire river view waliposimama kujionea kundi kubwa la tembo wakivuka barabara. Deo aliibuka mshindi mara baada ya kushiriki kwenye shindano linaloendelea la “Tutoke na Serengeti” linaloendeshwa na SBL kwa ushirikino na BPESA.

Pic 2

Mshindi wa mtoko wa...

 

11 years ago

Michuzi

MVUA YAHARIBU SEHEMU YA BARABARA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI

Lori la kubeba kifusi kwa ajili ya ukarabati wa barabara iliyopo katika hifadhi ya serengeti likiwa limekwama baada ya kunasa kwenye tope na kufunga barabara kwa muda. Magari yaliyokuwa na watalii yalilazimika kuchepuka na kuendelea na safari. Zikafanyika jitihada za kulinasua hilo gari kutoka katika eneo hilo . Barabara iko kwenye matengenezo. Hatimaye gari lilifanikiwa kutoka sehemu lilipokuwa limenasa. Safari ikaendelea kwa watumiaji wa mabasi yaendayo Musoma na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani