Serikali yakwaa kisiki kuizuia TLS mahakamani
Serikali jana ilijikuta ikikwaa kisiki mahakamani baada ya kushindwa kuzuia usikilizwaji wa maombi ya Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ya kutaka ipatiwe kibali cha kufungua kesi kupinga Bunge la Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Serikali yakwaa kisiki Hifadhi ya Serengeti
10 years ago
BBCSwahili21 Oct
Man United yakwaa kisiki
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Simba yakwaa kisiki Zanzibar
KLABU ya Simba imeshindwa kucheza mechi ya kirafiki wiki hii visiwani Zanzibar baada ya kukosa timu yenye ubora kwa ajili ya kupima kikosi chake.
Rais wa Simba, Evans Aveva, alisema jana kuwa kocha wao, Dylan Kerr, alitaka kucheza mchezo wa kirafiki mwishoni mwa wiki hii, imeshindikana baada ya kukosa timu nzuri ya kucheza nayo.
“Unajua timu nyingi zipo hapa Dar es Salaam zinashiriki michuano ya Kagame, na timu ambayo tulikua tunategemea kucheza nao ni KMKM ndio kidogo ingetupa...
11 years ago
Mwananchi03 Jul
TLS, LHRC wakusudia kumburuta Pinda upya mahakamani
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
TLS kuishitaki Serikali
Na Mwandishi wetu
CHAMA cha Wanasheria Tanganyika(TLS), leo kinatarajia kufungua kesi katika mahakama kuu kuishitaki serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa maamuzi yake ya kuunga mkono usitishaji wa mahakama ya jumuiya ya nchi za kusini mwa afrika(SADC Tribunal).
Maamuzi hayo yametangazwa na mjumbe wa kamati ya haki za binadamu wa chama hicho, Daimu Khalfan katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwao jijini Dar es Salaam. Khalfan alisema kwenye mkutano wao wa...
11 years ago
Tanzania Daima02 May
TLS: Serikali iondoe vikwazo utoaji habari
CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimetaka serikali kuondoa vikwazo vya kisheria na kanuni zinazozuia uwazi na utoaji wa habari. Wito huo ulitolewa jijini Dar es Salaam juzi na Rais wa...
9 years ago
Habarileo18 Nov
Mwambusi: Hakuna wa kuizuia Yanga
LICHA ya kuachwa nyuma kwa pointi mbili na vinara Azam FC katika msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Kocha msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema licha ya ushindani mkubwa katika ligi, ana uhakika watatetea ubingwa wao msimu huu.
9 years ago
Raia Mwema30 Sep
Serikali kuburuzwa mahakamani
ILIKWISHASEMWA na kufafanuliwa kwa kina; kwamba mkataba wa kitapeli wa miaka 20 kati ya kampuni y
Joseph Mihangwa
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Serikali kukabili uhaba watumishi mahakamani
KUTOKANA na uhaba wa watumishi katika mahakama nchini, Serikali inakusudia kutatua na kumaliza adha hiyo ambayo ni kero kwa wananchi. Hayo yalisemwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha...