Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwambusi: Hakuna wa kuizuia Yanga

LICHA ya kuachwa nyuma kwa pointi mbili na vinara Azam FC katika msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Kocha msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema licha ya ushindani mkubwa katika ligi, ana uhakika watatetea ubingwa wao msimu huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HAKUNA WA KUIZUIA CHELSEA KUTWAA UBINGWA, LEICESTER YACHEZEA KICHAPO CHA BAO 3-1

Mpira uliopigwa na mshambuliaji wa Leicester ( katikati ) Marc Albrighton ukimpita mlinda mlango wa Chelsea Petr Cech ( kushoto ) na beki wake Gary Cahill na kujaa wavuni kuiandikia Leicester bao la kuongoza. Mshambuliaji nguli wa Chelsea, Didier Drogba akipiga mpira uliokwenda moja kwa moja nyavuni na ukisawazishia timu yake katika dakika ya 48 muda mfupi tu baada ya kipindi cha pili kuanza.Wachezaji wa Chelsea wakiwasalimia mashabiki wao baada kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Leicester...

 

10 years ago

Mwananchi

Ziara Yanga yamkuna Mwambusi

Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema ujio wa Yanga ndani ya Jiji la Mbeya hilo ni kama zali kwao kwani mechi yao ya kirafiki watakayocheza nao Jumapili itamsaidia kukijenga kikosi chake.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwambusi, Bushiri waitwa Yanga

Huku uongozi wa Yanga ukiendelea kumsaka mrithi wa Boniface Mkwasa aliyepewa kazi Taifa Stars, wanachama na mashabiki wa klabu hiyo wamependekeza aina gani ya kocha wanayeamini ataziba vyema nafasi hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Mwambusi kutua Yanga leo

Safari ya kocha wa Mbeya City kutua Yanga imeiva baada ya jana kuwaaga rasmi wachezaji wake mazoezini.

 

9 years ago

Habarileo

Mwambusi aanza kwa mkwara Yanga

KOCHA mpya wa Yanga aliyetangazwa kuchukua nafasi ya Boniface Mkwasa, Juma Mwambusi amesema kuwa ataziba pengo la kocha huyo. Mwambusi kabla ya kujiunga na Yanga alikuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City aliyoisaidia kupanda daraja kutokea ligi daraja la kwanza.

 

9 years ago

TheCitizen

Mwambusi replaces Mkwasa as Yanga’s new assistant coach

It’s now official.Mbeya City’s head coach Juma Mwambusi has officially joined Mainland soccer champions, Dar es Salaam Young Africans.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga hakuna kulala

ZIKIWA zimesalia takribani wiki mbili kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara, mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga wamepanga kujichimbia Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho. Kwa sasa timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo zipo mafichoni kujiweka sawa kabla kipute hakijaanza rasmi Septemba 12, mwaka huu kwa msimu wa 2015-16.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Simba, Yanga hakuna jipya’

Wakati homa ya pambano la Nani Mtani Jembe baina ya Yanga na Simba ikizidi kupamba moto, baadhi ya makocha nchini wamegoma kuzungumzia mechi hiyo kwa madai kuwa miamba hiyo ya soka nchini haina jipya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani