TLS, LHRC wakusudia kumburuta Pinda upya mahakamani
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Kituo cha Msaada wa Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeanza rasmi mchakato wa kukata rufaa dhidi ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa kauli yake kuwa ‘wanaofanya fujo wapigwe tu’.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo03 Jul
LHRC, TLS wang’ang’ania kesi ya Pinda
KITUO cha Msaada wa Kisheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wamewasilisha kusudio la kukata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutupilia mbali kesi ya kikatiba waliyomfungulia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
11 years ago
IPPmedia03 Jul
TLS, LHRC to appeal against ruling in Premier Pinda case
IPPmedia
IPPmedia
The Tanganyika Law Society (TLS) as well as the Legal and Human Rights Centre (LHRC) filed a notice at the High Court, Dar es Salaam zone to appeal against judgment in a case facing Prime Minister Mizengo Pinda. Earlier, the High Court threw out their ...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
LHRC, TLS wazidi kusaka haki
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wamesema kuwa wanapinga hukumu ya pili iliyoeleza kuwa hawana mamlaka ya kumshitaki Waziri Mkuu kwa kuwa...
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Serikali yakwaa kisiki kuizuia TLS mahakamani
10 years ago
Habarileo07 Sep
Pinda aagiza sensa ya mifugo upya
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameitaka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi kufanya upya sensa ya mifugo kwani ya mwisho ilifanyika miaka 30 iliyopita.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Y-Y9ifUGtHo/U9ARugrHlKI/AAAAAAAF5R0/idyh0jccGuU/s72-c/unnamed+(23).jpg)
WAKUSUDIA KUSAMBAZA HUDUMA YA MAKTABA KWA WENGI
11 years ago
TheCitizen11 Jun
TLS not yet done with PM
9 years ago
Mwananchi19 Dec
TLS wawalalamikia Ma-DC
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
TLS kuishitaki Serikali
Na Mwandishi wetu
CHAMA cha Wanasheria Tanganyika(TLS), leo kinatarajia kufungua kesi katika mahakama kuu kuishitaki serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa maamuzi yake ya kuunga mkono usitishaji wa mahakama ya jumuiya ya nchi za kusini mwa afrika(SADC Tribunal).
Maamuzi hayo yametangazwa na mjumbe wa kamati ya haki za binadamu wa chama hicho, Daimu Khalfan katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwao jijini Dar es Salaam. Khalfan alisema kwenye mkutano wao wa...