Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TLS wawalalamikia Ma-DC

Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimewataka wakuu wa wilaya kuacha kuingilia mamlaka na mifumo iliyowekwa katika kutekeleza majukumu mbalimbali ya kimaendeleo.     

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wataalamu TPDC wawalalamikia wanasiasa

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Norbert Kahyoza amesema kitendo cha wanasiasa kuingilia masuala ya kitaalamu huathiri fursa za uwekezaji zilizopo pamoja na kupunguza kasi ya maendeleo.

 

11 years ago

TheCitizen

TLS not yet done with PM

The Tanganyika Law Society (TLS) and Legal and Human Rights Centre (LHRC) intend to move to the Court of Appeal after the High Court threw out their constitutional petition against Prime Minister Mizengo Pinda.

 

11 years ago

Dewji Blog

TLS kuishitaki Serikali

law2

Na Mwandishi wetu

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika(TLS), leo kinatarajia kufungua kesi katika mahakama kuu kuishitaki serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa maamuzi yake ya kuunga mkono usitishaji wa mahakama ya jumuiya ya nchi za kusini mwa afrika(SADC Tribunal).

Maamuzi hayo yametangazwa na mjumbe wa kamati ya haki za binadamu wa chama hicho, Daimu Khalfan katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwao jijini Dar es Salaam. Khalfan alisema kwenye mkutano wao wa...

 

11 years ago

TheCitizen

TLS says petition on Katiba not likely

>Intention by  the Tanganyika Law Society (TLS) to file a court petition to seek interpretation of the powers vested in the Constituent Assembly (CA) may not materialise as its members seem to be divided in opinion.

 

11 years ago

TheCitizen

TLS wants seven more gag laws to go

Seven laws should be amended to ensure more freedom of expression in the country, the Tanganyika Law Society (TLS) said yesterday.

 

10 years ago

Habarileo

AG ataka maombi ya TLS yatupwe

MWANASHERIA Mkuu (AG) ameitaka Mahakama Kuu kutupilia mbali ombi dhidi ya kuondolewa kwa Mahakama iliyoanzishwa na wajumbe wa Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kwa ajili ya kushughulikia masuala ya uvunjwaji wa haki za raia.

 

11 years ago

Mwananchi

TLS: Maoni ya wananchi yaheshimiwe

Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimelitaka Bunge Maalumu la Katiba kuheshimu maoni ya wananchi yaliyomo katika Rasimu ya Mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Mawakili TLS wajipanga kuipinga Katiba

Baada ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kufuta kesi yake ya kupinga mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba, sasa mawakili waliokuwa wakikiwakilisha chama hicho katika kesi hiyo wanafanya mikakati ya kufungua kesi ya kupinga Katiba Inayopendekezwa.

 

10 years ago

Daily News

TLS holds annual conference in Arusha


TLS holds annual conference in Arusha
Daily News
SHOULD Tanzanian lawyers be allowed to advertise and highly promote their firms, practice or services? This is the question that the 2014 Half Annual Conference and General Meeting (HAGM) of the Tanganyika Law Society is trying to answer here.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani