Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataalamu TPDC wawalalamikia wanasiasa

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Norbert Kahyoza amesema kitendo cha wanasiasa kuingilia masuala ya kitaalamu huathiri fursa za uwekezaji zilizopo pamoja na kupunguza kasi ya maendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

TLS wawalalamikia Ma-DC

Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimewataka wakuu wa wilaya kuacha kuingilia mamlaka na mifumo iliyowekwa katika kutekeleza majukumu mbalimbali ya kimaendeleo.     

 

10 years ago

TheCitizen

TPDC gets new boss

>President Jakaya Kikwete yesterday appointed Dr James Mataragio (pictured) to the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) executive director post.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPDC yazionya kampuni

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limezitaka baadhi ya kampuni zinazofanya utafiti wa mafuta kuacha kutoa taarifa za upotoshaji kuwa Tanga, Kilosa, Kilombelo na Kilimanjaro kumegunduliwa mafuta. Akizungumza na...

 

10 years ago

Mwananchi

JK ateua mkurugenzi TPDC

Rais Jakaya Kikwete amemteua Dk James Mataragio kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).

 

10 years ago

TheCitizen

MY TAKE ON THIS: Why I feel sorry for new TPDC boss

>His CV speaks volumes. Many people who read his resume when President Jakaya Kikwete announced that he has appointed Dr James Mataragio to become the new director general for Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) agreed that the post has got a competent person. There is no doubt about that.

 

9 years ago

Michuzi

TPDC KATIKA KONGAMONO LA DIASPORA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimzawadia Cheti, Afisa wa Shirika la Maendeleo Petroli Tanzania, Ally Mluge kutambua mchango wa TPDC kufanikisha kongamano hilo. Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC Dkt. James Mataragio akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe alipotembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania katika Mkutano wa Diaspora jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio...

 

10 years ago

Habarileo

TPDC yapata bosi mpya

Dk James Mataragio RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk James Mataragio kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa vyombo vya habari jana, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema uteuzi huo ulianza Desemba 15, mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPDC yasaidia wajasiriamali wanawake

WIZARA ya Nishati na Madini kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), limetoa msaada wa majiko ya gesi 25 na mitungi yake yenye thamani ya sh milioni 8.7 kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPDC yafafanua mkataba wa StatOil

SERIKALI inatarajia kupata mgawo wa asilimia 61 wa gesi asilia kutoka kwa mwekezaji Kampuni ya StatOil ya nchini Norway inayojishughulisha na utafutaji wa mafuta na gesi kitalu namba mbili kilichopo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani