AG ataka maombi ya TLS yatupwe
MWANASHERIA Mkuu (AG) ameitaka Mahakama Kuu kutupilia mbali ombi dhidi ya kuondolewa kwa Mahakama iliyoanzishwa na wajumbe wa Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kwa ajili ya kushughulikia masuala ya uvunjwaji wa haki za raia.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen11 Jun
TLS not yet done with PM
9 years ago
Mwananchi19 Dec
TLS wawalalamikia Ma-DC
11 years ago
TheCitizen30 Apr
TLS wants seven more gag laws to go
11 years ago
TheCitizen09 Aug
TLS says petition on Katiba not likely
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
TLS kuishitaki Serikali
Na Mwandishi wetu
CHAMA cha Wanasheria Tanganyika(TLS), leo kinatarajia kufungua kesi katika mahakama kuu kuishitaki serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa maamuzi yake ya kuunga mkono usitishaji wa mahakama ya jumuiya ya nchi za kusini mwa afrika(SADC Tribunal).
Maamuzi hayo yametangazwa na mjumbe wa kamati ya haki za binadamu wa chama hicho, Daimu Khalfan katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwao jijini Dar es Salaam. Khalfan alisema kwenye mkutano wao wa...
11 years ago
Mwananchi20 Jul
TLS: Maoni ya wananchi yaheshimiwe
11 years ago
Mwananchi27 Mar
TLS: Wajumbe msituharibie Katiba yetu
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
LHRC, TLS wazidi kusaka haki
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wamesema kuwa wanapinga hukumu ya pili iliyoeleza kuwa hawana mamlaka ya kumshitaki Waziri Mkuu kwa kuwa...