TLS: Serikali iondoe vikwazo utoaji habari
CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimetaka serikali kuondoa vikwazo vya kisheria na kanuni zinazozuia uwazi na utoaji wa habari. Wito huo ulitolewa jijini Dar es Salaam juzi na Rais wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Taboa yataka Serikali iondoe kodi zote
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Lembeli: Serikali iondoe VAT vifaa vya mradi
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli, ameishauri serikali kuondoa kodi kwenye vifaa vya mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu unaoendeshwa...
11 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Sugu: Serikali iondoe kodi vifaa tiba mbadala
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema kuna haja kwa Serikali kungalia namna ya kuondoa ushuru katika vifaa vinavyoingia nchini kwa ajili ya masuala ya tiba mbadala, kwani wanaonufaika...
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Serikali iondoe kodi vifaa vya ujenzi — Bunge
KAMATI ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, imeitaka serikali kuondoa kodi kwenye vifaa vya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu unaoendeshwa na Shirika la Nyumba Tanzania (NHC). Kuondolewa kwa...
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
TLS kuishitaki Serikali
Na Mwandishi wetu
CHAMA cha Wanasheria Tanganyika(TLS), leo kinatarajia kufungua kesi katika mahakama kuu kuishitaki serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa maamuzi yake ya kuunga mkono usitishaji wa mahakama ya jumuiya ya nchi za kusini mwa afrika(SADC Tribunal).
Maamuzi hayo yametangazwa na mjumbe wa kamati ya haki za binadamu wa chama hicho, Daimu Khalfan katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwao jijini Dar es Salaam. Khalfan alisema kwenye mkutano wao wa...
11 years ago
Mwananchi18 Sep
Serikali yakwaa kisiki kuizuia TLS mahakamani
9 years ago
Habarileo18 Nov
Vikwazo vya habari Iringa kuondolewa
SERIKALI mkoani humu imeahidi kuendelea kuondoa vikwazo vinavyowafanya wanahabari wasipate taarifa wanazohitaji kwa wakati, kwa ajili ya kuuhabarisha umma. Aidha, imesema ili kukuza demokrasia, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa katika mkoa huu itaendelea kutoa ushirikiano kwa wanahabari na kuwapa wananchi elimu juu ya haki yao ya kikatiba ya kuomba na kupewa habari.
11 years ago
VijimamboMISA TANZANIA YAKUTANA NA MAAFISA HABARI KUJADILI CHANGAMOTO ZA UTOAJI TAARIFA
Na Mwandishi wetuMaafisa habari mbalimbali kutoka wizara na mihimili tofauti ya nchi, jana walikutana katika hoteli ya JB Belmont hapa Dar es Salaam kujadili changamoto wanazo kumbana nazo wakati kwa kutoa taarifa kwa wananchi.Kongamano hilo linafuatia matokeo ya utafiti...
9 years ago
Michuzi