Simba yakwaa kisiki Zanzibar
KLABU ya Simba imeshindwa kucheza mechi ya kirafiki wiki hii visiwani Zanzibar baada ya kukosa timu yenye ubora kwa ajili ya kupima kikosi chake.
Rais wa Simba, Evans Aveva, alisema jana kuwa kocha wao, Dylan Kerr, alitaka kucheza mchezo wa kirafiki mwishoni mwa wiki hii, imeshindikana baada ya kukosa timu nzuri ya kucheza nayo.
“Unajua timu nyingi zipo hapa Dar es Salaam zinashiriki michuano ya Kagame, na timu ambayo tulikua tunategemea kucheza nao ni KMKM ndio kidogo ingetupa...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili21 Oct
Man United yakwaa kisiki
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Serikali yakwaa kisiki Hifadhi ya Serengeti
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Serikali yakwaa kisiki kuizuia TLS mahakamani
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Sitta akwaa kisiki
KIKAO cha Kamati ya Mashauriano kinachotarajiwa kufanyika leo chini ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, huenda kisifikie lengo lake la kutafuta suluhu ya kunusuru Bunge hilo liweze...
10 years ago
Mtanzania29 Aug
Mbowe: Mimi ni kisiki Chadema
![Freeman Mbowe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Freeman-Mbowe.jpg)
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ametangaza rasmi kutetea nafasi yake baada ya kuombwa kufanya hivyo na viongozi mbalimbali wa chama hicho.
Pamoja na hilo, pia amewakaribisha wanachama wa Chadema wanaohisi wana uwezo wa kushinda nafasi hiyo kujipima kwake.
Alitangaza uamuzi huo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, baada ya kuchukuliwa fomu na Mwenyekiti wa Baraza...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/ukawa-px.jpg)
KISIKI UKAWA KUPATA MGOMBEA NI HIKI
10 years ago
Vijimambo27 Feb
Chenge akwaa kisiki Escrow, Akimbilia Mahakama Kuu.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Chenge-27Feb2015.jpg)
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, jana ‘alikwaa kisiki’ baada ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kutupilia mbali pingamizi lake aliloliwasilisha juzi kuzuia kusikilizwa kwa shauri lake kuhusiana na tuhuma za kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma.
Pamoja na mambo mengine, Chenge, ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu, anatuhumiwa kwa kujipatia mgawo wa Sh. bilioni 1.6 kutoka kwenye fedha zilizochotwa...
9 years ago
Habarileo30 Aug
Simba bado Zanzibar
SIMBA jana ilishindwa kuonesha makali yake baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa.
9 years ago
Habarileo02 Dec
Simba usipime Zanzibar
KLABU ya Soka ya Simba imeanza mazoezi yake jana katika Uwanja wa Amaan kwa ajili ya kujindaa na mechi zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara itakayoendelea Desemba 12. Ligi hiyo ilisimama ili kupisha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kucheza mechi za kufuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia pamoja na ile ya Kilimanjaro Stars kucheza michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea Ethiopia.