Simba usipime Zanzibar
KLABU ya Soka ya Simba imeanza mazoezi yake jana katika Uwanja wa Amaan kwa ajili ya kujindaa na mechi zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara itakayoendelea Desemba 12. Ligi hiyo ilisimama ili kupisha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kucheza mechi za kufuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia pamoja na ile ya Kilimanjaro Stars kucheza michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea Ethiopia.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dy9ynGgwNlRxzHp*-733bQxiayhlwS3G*qmblWb48I8Ax4ABPdXpaqKgDXGPmDNIqsicSbGCISZLH37OHqrAB6eUloiSQ1dR/dozi.jpg)
Dozi ya Simba... Sauz usipime!
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Yanga, Azam, Simba usipime
9 years ago
Habarileo30 Aug
Simba bado Zanzibar
SIMBA jana ilishindwa kuonesha makali yake baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa.
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Mapokezi ya Diamond usipime
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Usipime Chelsea, Arsenal
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ve0GOSCWJaiuyAL5D-dBiea2whPhgUKfq4GcofihP9ep3v6MaIjyKi1yRTzZrIN1xQSzRDiYqUyIKgOoW4UmP45cdkcny92W/7.jpg?width=650)
RUGE WA ESCROW USIPIME!
10 years ago
Michuzi31 Aug
SIMBA YAICHAKAZA KMKM 5-0 ZANZIBAR
Simba SC ilikwenda kupumzika ikiwa inaongoza mabao 4-0, yaliyotiwa kimiani na Amisi Tambwe mawili, Amri Kiemba na Shaaban Kisiga ‘Malone’ moja kila mmoja.
Amri Kiemba ndiye aliyefungua karamu...
9 years ago
Habarileo28 Nov
Simba yaiendea Azam Zanzibar
TIMU ya Simba imesema kuwa inatarajia kuweka kambi Zanzibar kuanzia wiki ijayo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo ujao dhidi ya vinara wa Ligi Azam FC utakaochezwa Desemba 12 mwaka huu.
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Simba yakwaa kisiki Zanzibar
KLABU ya Simba imeshindwa kucheza mechi ya kirafiki wiki hii visiwani Zanzibar baada ya kukosa timu yenye ubora kwa ajili ya kupima kikosi chake.
Rais wa Simba, Evans Aveva, alisema jana kuwa kocha wao, Dylan Kerr, alitaka kucheza mchezo wa kirafiki mwishoni mwa wiki hii, imeshindikana baada ya kukosa timu nzuri ya kucheza nayo.
“Unajua timu nyingi zipo hapa Dar es Salaam zinashiriki michuano ya Kagame, na timu ambayo tulikua tunategemea kucheza nao ni KMKM ndio kidogo ingetupa...