Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yanunua hisa zote za General Tyre

Serikali imesema sasa inamiliki kiwanda cha kutengeneza magurudumu ya magari cha General Tyre kwa asilimia 100 baada ya kununua hisa zote 26 zenye thamani ya Dola 1 milioni zilizokuwa zikimilikiwa na kampuni ya Continental AG.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

TheCitizen

Govt buys 26pc shares to retake General Tyre

The government has taken back General Tyre East Africa Limited (GTEA) after purchasing 26 shares owned by US-based company, Continental AG, at a price of one million US Dollars (Sh2.1 billion).

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na  Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho.Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili ya uzalishaji wa Magurudumu mapema mwaka huu. Kiwanda hicho...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ,JANET MBENE ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na  Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho. Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yanunua injini mpya 13

SERIKALI inatarajia kununua vichwa vipya 13 vya treni pamoja na mabehewa 22 ya abiria na mengine 204 ya mizigo. Kauli hiyo ilitolewa juzi bungeni na Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yanunua bunduki 500 za AK47 kukabili ujangili

>Siku moja baada ya Tanzania kutajwa na Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) kuwa kinara wa biashara ya meno ya tembo Afrika Mashariki, Serikali imelipia kodi na kukabidhiwa bunduki 500 aina ya AK47 ili kukabiliana na ujangili katika hifadhi na mapori ya akiba nchini.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YANUNUA MASHINE MPYA YA CT-SCAN KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI YENYE UWEZO WA HALI YA JUU

Na Magreth Kinabo –MAELEZO.
Serikali imenunua mashine  mpya ya CT-Scan yenye thamani ya  takriban dola  za Marekani milioni 1.7  yenye uwezo wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali  katika Hospitali  ya Taifa ya Muhimbili(MNH) iliyopo jijini Dar es Salaam.
 Ununuzi wa mashine hiyo, umefanyika kufuatia agizo la Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyoifanya hivi karibuni ambapo aliutaka uongozi wa hospitali hiyo kuboresha...

 

11 years ago

Ykileo

SERIKALI NCHINI UCHINA IMEPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA WINDOW 8 KWA KOMPUTA ZOTE ZA SERIKALI.

Nchini uchina kumezuka gumzo baada ya serikali kupiga marufuku matumizi ya Window 8 katika computa zote za serikali nchini humo. Taarifa iliyo chapishwa na “CHINA DAILY” ilibainisha uamuzi huo wa serikali uliowekwa kwenye tovuti ya serikali ya nchini humu ambapo ilisisitiza zoezi hilo hali husu komputa za watu binafsi isipokuwa zile zinazotumiwa na serikali.


Tangazo hilo la serikali linalosemeka “HAPA” limebainisha uamuzi huo wa serikali umekuja baada ya kufungiwa huduma za kiusalama kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kupokwa hisa NBC

HISA za Serikali zilizoko katika benki ya NBC ziko hatarini kupokwa na wawekezaji wa kigeni endapo Serikali haitolipa deni la Sh bilioni 22 inazodaiwa na kampuni ya ABSA/Barclays ya Afrika Kusini ifikapo Machi mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani