Serikali yanunua injini mpya 13
SERIKALI inatarajia kununua vichwa vipya 13 vya treni pamoja na mabehewa 22 ya abiria na mengine 204 ya mizigo. Kauli hiyo ilitolewa juzi bungeni na Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSERIKALI YANUNUA MASHINE MPYA YA CT-SCAN KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI YENYE UWEZO WA HALI YA JUU
Serikali imenunua mashine mpya ya CT-Scan yenye thamani ya takriban dola za Marekani milioni 1.7 yenye uwezo wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH) iliyopo jijini Dar es Salaam.
Ununuzi wa mashine hiyo, umefanyika kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyoifanya hivi karibuni ambapo aliutaka uongozi wa hospitali hiyo kuboresha...
9 years ago
Mwananchi22 Aug
Serikali yanunua hisa zote za General Tyre
Serikali imesema sasa inamiliki kiwanda cha kutengeneza magurudumu ya magari cha General Tyre kwa asilimia 100 baada ya kununua hisa zote 26 zenye thamani ya Dola 1 milioni zilizokuwa zikimilikiwa na kampuni ya Continental AG.
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Serikali yanunua bunduki 500 za AK47 kukabili ujangili
>Siku moja baada ya Tanzania kutajwa na Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) kuwa kinara wa biashara ya meno ya tembo Afrika Mashariki, Serikali imelipia kodi na kukabidhiwa bunduki 500 aina ya AK47 ili kukabiliana na ujangili katika hifadhi na mapori ya akiba nchini.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jxPvF-AblpI/Xrr0WISIvOI/AAAAAAALp-E/0J2_brrMiv8dyPG0NldfX_YLEqFXCaIugCLcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
Serikali yawakabidhi wavuvi injini za boti kuboresha uvuvi nchini
![](https://1.bp.blogspot.com/-jxPvF-AblpI/Xrr0WISIvOI/AAAAAAALp-E/0J2_brrMiv8dyPG0NldfX_YLEqFXCaIugCLcBGAsYHQ/s640/01.jpg)
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina (wa kwanza kushoto) akimkabidhi Mbunge wa Kyela ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe injini ya boti iliyotolewa na Serikali kwa ajili ya kikundi cha wavuvi cha Kyela mkoani Mbeya wakati wa hafla ya makabidhiano ya injini hiyo leo jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/0b7cf848-623b-4e88-b0dd-c3eb6aa89a70.jpg)
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina (wa pili kushoto) akimkabidhi Mbunge wa Mtwara Vijinini Hawa Ghasia (wa kwanza kulia) moja ya injini ya boti kati ya mbili...
9 years ago
BBCSwahili01 Sep
Wahamiaji 2 wajificha ndani ya injini
Mhamiaji kutoka Afrika afanikiwa kuingia Uhispania kutoka Morocco akiwa amejikunja ndani ya injini ya gari na mwingine akijificha nyuma ya kiti cha gari
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Lotus kutumia injini za Mercedes
Magari ya Lotus ya Formula 1 yataanza kutumia injini za Mercedes badala ya Renault 2015.
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Tazara yapata injini na mabehewa mapya
Mamlaka ya reli ya Tanzania na Zambia TAZARA imepokea injini nne mpya za umeme zinazotumia mafuta ya dizeli pamoja na mabehewa 18 ya abiria yote kwa thamani ya dola milioni 22.4.
11 years ago
Habarileo26 Jan
Tanzania yaomba mabehewa, injini za treni
SERIKALI ya Uingereza inatafakari ombi la Tanzania la mabehewa na injini za treni, ambayo nchi hiyo haizitumii tena, lakini bado ni nzima kwa ajili ya kusaidia kuimarisha usafiri wa reli katika Tanzania na hasa wa Jiji la Dar es Salaam.
11 years ago
BBCSwahili17 Jun
Google yanunua Skybox Imaging
Google imetangaza mpango wake wa kununua mitambo ya Skybox Imaging kwa dola bilioni laki 5.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania