Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yawaondolea hofu wastaafu Zanzibar

DSC00613

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi Mpango Maalum wa Mikopo kwa Wafanyakazi wastaafu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar hapo Zanzibar Ocean View.

 Na Othman Ame

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni kujenga mazingira mazuri kwa wastaafu wake ili kustaafu kwao kusiogopwe na kuonekana ni mwanzo wa kuanza kwa kipindi cha maisha ya shida yasiyokuwa na matumaini.

Alisema Serikali inataka...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MPANGO WA MIKOPO YA WASTAAFU ZANZIBAR


VIONGOZI wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mhe. Balozi Seif Ali Idd(hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Mikopo ya Wastaafu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kwa kushirikiana na TPB, uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View iliyopo Kilimani mjini Zanzibar. WAFANYAKAZI wa Benki Posta Tanzania (TPB) wakiwa katika uzinduzi wa Mikopo ya Wastaafu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kupitia Benki hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPB, ZSSF wawabeba wastaafu Zanzibar

MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, amesema mpango wa utoaji mikopo kwa wastaafu ulioanza kutekelezwa, una lengo la kuwasaidia katika kukidhi mahitaji yao mbalimbali ya kimaisha....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yakana wastaafu kupunjwa mafao

SERIKALI imesema madai kuwa mafao yanayolipwa kwa wastaafu sio sahihi hayana ukweli wowote. Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima, alieleza hayo bungeni jana alipokuwa akijibu swali la Mbunge...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu wanajeshi wastaafu kudai Sh. Milioni 3

Mkurugenzi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene.

Gazeti la Kiingereza la The East African, Toleo Na. 1030 lililochapishwa mwishoni mwa wiki, Jumamosi, Julai 26, 2014, limeandika habari yenye kichwa cha habari “Ex-soldiers want $3m for covert Congo operation”, ikiwa na maana kuwa wanajeshi wastaafu wanadai kulipwa dola za Marekani milioni tatu kwa kushiriki operesheni ya siri katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Inadaiwa katika habari hiyo kwa zaidi ya wanajeshi 400...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUTATUA SUALA LA WASTAAFU KUTOPATA MAFAO KWA WAKATI







Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George Huruma Mkuchika (Mb) akitoa ahadi Bungeni ya kutatua changamoto ya ucheleweshwaji wa mafao ya wastaafu wakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021.

………………………………………………………………..

James K. Mwanamyoto-Dodoma

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imepanga kukutana na Maafisa Utumishi wote nchini ili kuwakumbusha na...

 

9 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WAZEE WASTAAFU, WAKULIMA NA WAFANYAKAZI ZANZIBAR WATOA TAMKO JUU YA HALI ILIOPO VISIWAMI

Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazee wastaafu, Wakulima na Wafanyakazi  Zanzibar Mzee Ali Hassan Khamis akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hali ya nchi ilivyo sasa na kuwataka wananchi kusikiliza maelekezo yatakayotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Picha na Makame/Maelezo Zanzibar.NA RAMADHANI ALI /MAELEZO ZANZIBAR Jumuia ya Wazee wastaafu, Wakulima na Wafanyakazi  Zanzibar imewashauri wananchi  kuwa watulivu wakati huu na kusikiliza maelekezo yatakayotolewa na Tume...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi wawatoa hofu watalii Zanzibar

Polisi imewatoa wasiwasi wananchi wa visiwani hapa na watalii kutoka nchi ya nje ikisema  itamarisha  ulinzi na usalama katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yawatoa hofu wananchi

SERIKALI imesema kuwa ndege zinazoonekana mpakani mwa Tanzania na Malawi ni maalumu kwa ajili ya kufanya utafiti na vyombo vya udhibiti wa anga vimezipa vibali vya kuwa katika maeneo hayo....

 

10 years ago

Vijimambo

Serikali yawaondoa wananchi hofu ya Marburg

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Donald Mmbando
Serikali imewatoa hofu wa wananchi kuhusu ugonjwa mpya wa Marburg ambao umelipuka nchini Uganda huku dalili z\ake zikifanana na za Ebola.

Aidha Wizara imewataka wananchi kupuuzia taarifa zinazosambazwa na watu wachache kuwa ugonjwa wa ebola umeingia nchini wakati siyo kweli kwa kuwa Wizara ndio inatakiwa kutoa taarifa hizo.

Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Kaimu Katibu Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani