Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPB, ZSSF wawabeba wastaafu Zanzibar

MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, amesema mpango wa utoaji mikopo kwa wastaafu ulioanza kutekelezwa, una lengo la kuwasaidia katika kukidhi mahitaji yao mbalimbali ya kimaisha....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

PSPF, TPB kukopesha wastaafu

MFUKO wa Pensheni wa PSPF kwa kushirikiana na Benki ya Posta Tanzania (TPB) wamezindua mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Gaudensia Kabaka aipongeza TPB kutoa mikopo kwa wastaafu

Kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta (TPB), Sabasaba Moshingi, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka na baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa wameshikana mikono na kuinyanyua juu ikiwa ni ishara ya kuwaunganisha wastaafu kwenye fursa mara baada ya uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta (TPB), Sabasaba Moshingi, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka na baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa wameshikana mikono na kuinyanyua juu ikiwa ni ishara ya kuwaunganisha wastaafu kwenye fursa mara baada ya uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam.Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR, DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA WADAU WA ZSSF

dk2 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora pia kaimu Waziri wa Fedha Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid wakiwa katika Mkutano wa mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.dk4Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati akifungua...

 

10 years ago

Vijimambo

NSSF Yashinda Bonanza la Pasaka Zanzibar Mpira wa Miguu Netiboli Yashinda ZSSF

Viongozi wa ZSSF na NSSF wakiwa katika uwanja wa Amaan tayari kwa kwenda kukagua timu hizio kabla ya mchezo wao wa Tamasha la Michezo la OPasaka lililofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya NSSF imeshinda kwa matuta 4--3. Viongozi wa ZSSF na NSSF wakiwa katika uwanja wa Amaan tayari kwa kwenda kukagua timu hizio kabla ya mchezo wao wa Tamasha la Michezo la OPasaka lililofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya NSSF imeshinda kwa matuta 4--3. Kamisaa wa mchezo wa kirafiki kati ya ZSSF na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yawaondolea hofu wastaafu Zanzibar

DSC00613

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi Mpango Maalum wa Mikopo kwa Wafanyakazi wastaafu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar hapo Zanzibar Ocean View.

 Na Othman Ame

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni kujenga mazingira mazuri kwa wastaafu wake ili kustaafu kwao kusiogopwe na kuonekana ni mwanzo wa kuanza kwa kipindi cha maisha ya shida yasiyokuwa na matumaini.

Alisema Serikali inataka...

 

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MPANGO WA MIKOPO YA WASTAAFU ZANZIBAR


VIONGOZI wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mhe. Balozi Seif Ali Idd(hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Mikopo ya Wastaafu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kwa kushirikiana na TPB, uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View iliyopo Kilimani mjini Zanzibar. WAFANYAKAZI wa Benki Posta Tanzania (TPB) wakiwa katika uzinduzi wa Mikopo ya Wastaafu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kupitia Benki hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WAZEE WASTAAFU, WAKULIMA NA WAFANYAKAZI ZANZIBAR WATOA TAMKO JUU YA HALI ILIOPO VISIWAMI

Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazee wastaafu, Wakulima na Wafanyakazi  Zanzibar Mzee Ali Hassan Khamis akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hali ya nchi ilivyo sasa na kuwataka wananchi kusikiliza maelekezo yatakayotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Picha na Makame/Maelezo Zanzibar.NA RAMADHANI ALI /MAELEZO ZANZIBAR Jumuia ya Wazee wastaafu, Wakulima na Wafanyakazi  Zanzibar imewashauri wananchi  kuwa watulivu wakati huu na kusikiliza maelekezo yatakayotolewa na Tume...

 

10 years ago

Habarileo

ZSSF yaanzisha fao la uzazi

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema kuanzishwa kwa fao la uzazi katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Zanzibar (ZSSF) ni matokeo ya juhudi za Serikali za kupambana na kupunguza vifo vya wanawake wajawazito na watoto nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Utafiti wawabeba vijana Urais 2015

Mwigulu NchembaSHIRIKA la Utafiti wa Maendeleo ya Elimu (TEDRO), limesema katika utafiti walioufanya kuhusu ushiriki wa vijana katika siasa na matarajio kuelekea uchaguzi mkuu 2015, umeonesha kwamba endapo mgombea urais kijana atapendekezwa atakubalika kwa asilimia 82.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani