Shati alizozipenda Mandela
Mandela hakusifika tu kwa ushujaa wake bali pia kwa mavazi yake. Lakini nani alikuwa anamshonea shati zake za kipekee?
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDAksE5nNe8yrQO012lHIiprvpnj9l02cABH-S669CZ1lYgK*dBPJW1Z5G0HhNmZ1ApYDUPxnWC8orXgPf-now-o/HJYIFFIFI.jpg?width=650)
ESTER AKUTWA NA SHATI LA DUDE
11 years ago
Habarileo07 Mar
Makinda apinga shati la kitenge bungeni
VAZI la kitenge kwa wanaume jana liliamsha mabishano kwenye semina ya wabunge ambapo baadhi ya wajumbe wametaka wanaume waruhusiwe kuvaa mashati ya kitenge na batiki. Miongoni mwa waliotaka kuvaliwe kwa shati la kitenge na batiki ni John Mnyika, Maria Sarungi na Ezekiah Wenje huku Anne Makinda, Hawa Ghasia, Joshua Nassari na George Simbachawene wakipinga vazi hilo kuvaliwa kwenye vikao vya bunge hilo la katiba.
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Fundi asiyeona aliyemshonea Kikwete shati
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Apokonywa dhahabu kwa kuvua shati lake
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Fundi stadi asiyeona aliyemshonea Kikwete shati
11 years ago
MichuziSIMBA YAVUTWA SHATI NA MTIBWA SUGAR,YATOKA SARE YA BAO 1-1 MJINI MOROGORO LEO
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Mandela, Mandela: Mamilioni wamlilia Tata Madiba
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Ukienda bila shati na viatu mgahawani Australia hakuna huduma.. wala hawatanii kwenye hii..!!
Kuna wakati Vyuo vikuu Tanzania ilibidi zianze kutangazwa na kupitishwa kanuni za mavazi ambayo wanafunzi wanatakiwa kuvaa, ule uhuru ulifanya wengine kuvaa mpaka nguo ambazo sio sahihi kuvaa hadharani !! Pata picha ni mgahawani na bado hauruhusiwi kuvaa nguo za aina fulani. Mgahawa huo wa McDonald ulipo maeneo ya Oak Wood, Melbourne Australia waliweka tangazo la […]
The post Ukienda bila shati na viatu mgahawani Australia hakuna huduma.. wala hawatanii kwenye hii..!! appeared first on...