Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fundi asiyeona aliyemshonea Kikwete shati

Bw Abdallah Nyangalio ni fundi wa nguo asiyeona na ambaye amekuwa maarufu Tanzania kiasi kwamba aliwahi kumshonea Rais Jakaya Kikwete shati.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Fundi stadi asiyeona aliyemshonea Kikwete shati

Bw Abdallah Nyangalio ni fundi wa nguo asiyeona na ambaye amekuwa maarufu Tanzania kiasi kwamba aliwahi kumshonea Rais Jakaya Kikwete shati.

 

9 years ago

BBCSwahili

Fundi wa nguo asiyeona aliye maarufu sana Tanzania

Abdallah Nyangalio, 56, ni fundi wa nguo hodari licha ya kutoona na amekutana na watu maarufu akiwemo aliyekuwa Rais Jakaya Kikwete na mke wa rais wa zamani Anne Mkapa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Msanii asiyeona wa kazi za mikono

Msanii wa kazi za mikono asiyeona kutoka Uganda, ameweza kuendeleza kipaji chake cha sanaa tofauti na ilivyotegemewa.

 

9 years ago

Habarileo

Majambazi wanne waua asiyeona na mwanawe

WATU wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamevamia duka la mfanyabiashara Aloyce Lusoka wa Holili wilayani Rombo na kupora kiasi cha fedha kisichojulikana, kisha kumuua kwa risasi mama asiyeona na mwanawe, waliokuwa karibu na duka hilo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Shati alizozipenda Mandela

Mandela hakusifika tu kwa ushujaa wake bali pia kwa mavazi yake. Lakini nani alikuwa anamshonea shati zake za kipekee?

 

10 years ago

GPL

ESTER AKUTWA NA SHATI LA DUDE

Imelda Mtema
Msanii anayekuja juu kwa kasi kwenye gemu la filamu Bongo, Ester Kihama amenaswa akiwa ametinga shati linalodaiwa kuwa la staa wa kiume wa filamu, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Msanii anayekuja juu kwa kasi kwenye gemu la filamu Bongo, Ester Kihama. Mpashaji wetu alisema alimnasa mwanadada huyo akiwa anakatiza mitaani na shati hilo ambalo mara nyingi analivaa Dude akamfotoa picha za kutosha kwani kitendo...

 

11 years ago

Habarileo

Makinda apinga shati la kitenge bungeni

VAZI la kitenge kwa wanaume jana liliamsha mabishano kwenye semina ya wabunge ambapo baadhi ya wajumbe wametaka wanaume waruhusiwe kuvaa mashati ya kitenge na batiki. Miongoni mwa waliotaka kuvaliwe kwa shati la kitenge na batiki ni John Mnyika, Maria Sarungi na Ezekiah Wenje huku Anne Makinda, Hawa Ghasia, Joshua Nassari na George Simbachawene wakipinga vazi hilo kuvaliwa kwenye vikao vya bunge hilo la katiba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Apokonywa dhahabu kwa kuvua shati lake

Mwanariadha wa Ufaransa, alimaliza wa kwanza katika mbio za mita 3,000 lakini akavua shati lake

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA YAVUTWA SHATI NA MTIBWA SUGAR,YATOKA SARE YA BAO 1-1 MJINI MOROGORO LEO

Kikosi cha Timu ya Soka ya Simba   Kikosi cha Timu ya Soka ya Mtibwa  Waamuzi wa Mchezo wa Leo wakiwa na Manaodha wa Timu Zote Mbili.  Wachezaji wa Timu ya Soka ya Mtibwa Sugar Wkishanilia Goli Lililofungwa na Musa Mgosi  Katika Dakika ya 18 ya Mchezo.  Rashid Baba Ubaya Akitafuta Mbinu za Kumtoka Beki wa Mtibwa Sugar Said Mkopi.  Kipa wa Mtibwa Hasani  Sharifu    Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo huo wakishangilia muda wote wa Mchezo  Golikipa wa Timu ya Mtibwa Sugar Hussein...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani