Fundi wa nguo asiyeona aliye maarufu sana Tanzania
Abdallah Nyangalio, 56, ni fundi wa nguo hodari licha ya kutoona na amekutana na watu maarufu akiwemo aliyekuwa Rais Jakaya Kikwete na mke wa rais wa zamani Anne Mkapa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Fundi asiyeona aliyemshonea Kikwete shati
Bw Abdallah Nyangalio ni fundi wa nguo asiyeona na ambaye amekuwa maarufu Tanzania kiasi kwamba aliwahi kumshonea Rais Jakaya Kikwete shati.
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Fundi stadi asiyeona aliyemshonea Kikwete shati
Bw Abdallah Nyangalio ni fundi wa nguo asiyeona na ambaye amekuwa maarufu Tanzania kiasi kwamba aliwahi kumshonea Rais Jakaya Kikwete shati.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LAl787uzrCCfK3zrV0j*I6DTX3VQYjeVRgjFvkx8-62CGf6b-hS92eScXQ538lO5y7oDmZwPn2K8GwIb6HMnlMWNF5ZuLN6q/davina.jpg)
FUNDI NGUO AMCHEFUA DAVINA
STAA wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amechefuliwa vibaya na fundi wa nguo kwa kumcheleweshea nguo ya sare na kumfanya ashindwe kuivaa kwenye shughuli ya msanii mwenzake, Vanitha Omari. Staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’. Akipiga stori na mwandishi wetu katika shughuli hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Mawela Sinza, jijini Dar, Davina alisema...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL*tpL0LX2RaxEPPRx6Q0pcR9wzjmf34ODdqtRAPUnkgw7hqeg0aqKG2uj8W4Czrh*jRoF1z--o72Zip0OmKWiiq/Wolper.jpg)
WOLPER: BORA NIWE FUNDI NGUO
Shani Ramadhani Na Mayasa Mariwata/Amani
STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Wolper’ ameamua kuanika ukweli kuwa sasa hivi anataka kuwa fundi wa kushona nguo ili kuepukana na ‘masnichi’ waliopo kwenye tasnia ya uigizaji. Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Wolper’ akipozi. Akizungumza na Amani, Wolper alisema ameamua kujikita huko kwa sababu ameona Bongo...
10 years ago
Michuzi22 Jun
AIRTEL FURSA "TUNAKUWAWEZESHA" YAMUWEZESHA FUNDI NGUO, BETHA BENEDICT MKAZI WA BUNJU JIJINI DAR
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1261.jpg)
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/2183.jpg)
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/3152.jpg)
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Msanii asiyeona wa kazi za mikono
Msanii wa kazi za mikono asiyeona kutoka Uganda, ameweza kuendeleza kipaji chake cha sanaa tofauti na ilivyotegemewa.
9 years ago
Habarileo29 Aug
Majambazi wanne waua asiyeona na mwanawe
WATU wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamevamia duka la mfanyabiashara Aloyce Lusoka wa Holili wilayani Rombo na kupora kiasi cha fedha kisichojulikana, kisha kumuua kwa risasi mama asiyeona na mwanawe, waliokuwa karibu na duka hilo.
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Mwanamuziki Maarufu wa Tanzania aacha muziki kutokana na msongo wa mawazo
Vanessa mdee ni miongoni mwa wanamuziki maarufu wa kike nchini Tanzania na barani Afrika.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10