Makinda apinga shati la kitenge bungeni
VAZI la kitenge kwa wanaume jana liliamsha mabishano kwenye semina ya wabunge ambapo baadhi ya wajumbe wametaka wanaume waruhusiwe kuvaa mashati ya kitenge na batiki. Miongoni mwa waliotaka kuvaliwe kwa shati la kitenge na batiki ni John Mnyika, Maria Sarungi na Ezekiah Wenje huku Anne Makinda, Hawa Ghasia, Joshua Nassari na George Simbachawene wakipinga vazi hilo kuvaliwa kwenye vikao vya bunge hilo la katiba.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo23 Feb
Makinda akemea 'utajiri' bungeni
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda ametaka wanaotarajia kugombea katika uchaguzi mkuu wa 2015 kujiweka sawa kiuchumi badala ya kutegemea kutajirika wakiwa bungeni. Wakati Makinda akitoa ushauri huo kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba, kwa upande wake Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake, Anna Abdalah amesema wanaosema posho ya Sh 300,000 kwa siku haitoshi wana sababu zao.
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Vuta nikuvute bungeni, Spika Makinda ahairisha Bunge
10 years ago
Vijimambo28 Jan
Vuta nikuvute Bungeni, Spika Makinda ahairisha bunge
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2604812/highRes/932472/-/maxw/600/-/k9nluaz/-/makinda.jpg)
10 years ago
Dewji Blog01 Apr
BREAKING NEWS:Spika Makinda akatisha Bunge kunusuru fujo Bungeni Dodoma leo
Spika wa Bunge, Anne Makinda saa moja iliyopita mjini Dodoma, ameamua kukatisha kikao cha 19 cha Bunge kilichokuwa kikiendelea mjini humo kufuaatia Wabunge kusimama kwa kumshinikiza Waziri Mkuu atoe kauli ya juu ya Zoezi la uandikishaji wapigakura katika Daftari la Kudumu la Wapigakura lililokuwa likiendelea Mkoa wa Njombe, huku likikabiliwa na changamoto nyingi, ikiwamo mashine za Biometric Voter Registration (BVR), kushindwa kufanya kazi ipasavyo na matatizo juu ya zoezi hilo.
11 years ago
BBCSwahili11 Dec
Shati alizozipenda Mandela
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDAksE5nNe8yrQO012lHIiprvpnj9l02cABH-S669CZ1lYgK*dBPJW1Z5G0HhNmZ1ApYDUPxnWC8orXgPf-now-o/HJYIFFIFI.jpg?width=650)
ESTER AKUTWA NA SHATI LA DUDE
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Fundi asiyeona aliyemshonea Kikwete shati
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Fundi stadi asiyeona aliyemshonea Kikwete shati