Sheikh akoromea siasa za kuchafuana
Dodoma. Wanasiasa nchini wametakiwa kuachana na siasa za kufanya kampeni za kuchafuana kwa ajili ya kuwashawishi wananchi wawachague, kwa kuwa muda ukifika wale wanaohitajika ndiyo watakaochaguliwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Msindai: Sipendi siasa za kuchafuana
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Mgana Msindai, amesema hapendi siasa za kuchafuana zinazofanywa na baadhi ya wanasiasa wanaotafuta umaarufu. Msindai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wenyeviti...
10 years ago
Dewji Blog18 Sep
Mfuga nyuki wa tuzo ya ‘Rais’ akoromea wanavijiji
Rais wa shirikisho la wafuga nyuki duniani Gilles Ratia (wa tatu kulia) akifafanua jambo kuhusu mizinga ya nyuki kwa Kaimu Mkurugenzi misitu Gladnees Mkamba.Wa kwanza kulia ni mtendaji mkuu misitu, Juma Mgoo na anayefuatia ni Meneja shirika la Future Development Initiatives Jonathan Njau.
Nathaniel Limu, Singida
MSHINDI wa tuzo ya Rais juu ya ufugaji bora wa nyuki kwa mwaka jana Jackson Sombi, wa mkoani Singida, ameibua tuhuma nzito dhidi ya wana-kijiji wenzake akidai kuwa ndio...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
CCM kuchafuana tu
MALUMBANO ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yanayoonekana dhahiri kuchagizwa na makundi ya urais yameendelea kushika kasi ndani ya chama hicho. Baada ya jana Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi,...
10 years ago
MichuziSHEIKH MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO SHEIKH ABDULKADIR MOHAMED RAMIYA ATOA TAMKO LEO
11 years ago
GPLTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUVUNJWA KABURI LA SHEIKH YAHYA HUSSEIN NA SHEIKH KASIM
10 years ago
GPLMAKAMBA: TUEPUKE USHABIKI NA KUCHAFUANA
9 years ago
Mwananchi06 Sep
HONDOHONDO : Kampeni za kufarakanisha, kuchafuana
10 years ago
Dewji Blog16 Jun
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba (kushoto) enzi za uhai wake.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba.
Marehemu Mufti amefariki leo 15/6/2015 asubuhi katika hospitali ya TMJ – DSM alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa sukari na shinikizo...
10 years ago
MichuziMAKAMBA: TUEPUKE USHABIKI NA KUCHAFUANA, TUTAUA CHAMA
Makamba ameyasema hayo alipokuwa akiwashukuru wanachama wenzake waliojitokeza kumdhamini ili kupata ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi...