MAKAMBA: TUEPUKE USHABIKI NA KUCHAFUANA

Naibu Waziri wa Habari Sayansi na Teknolojia na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli (CCM) Mh. January Makamba akicheza ngoma pamoja na wanachama wa CCM Mkoa wa Njombe waliojitokeza kumdhamini alipokuwa mkoani humo kusaka wadhamini wakati wa kugombea urai kwa tiketi ya chama hicho. Mh. January Makamba akicheza ngoma pamoja na wanachama wa CCM Mkoa wa Njombe waliojitokeza kumdhamin. Mh.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAKAMBA: TUEPUKE USHABIKI NA KUCHAFUANA, TUTAUA CHAMA
Makamba ameyasema hayo alipokuwa akiwashukuru wanachama wenzake waliojitokeza kumdhamini ili kupata ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi...
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
CCM kuchafuana tu
MALUMBANO ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yanayoonekana dhahiri kuchagizwa na makundi ya urais yameendelea kushika kasi ndani ya chama hicho. Baada ya jana Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi,...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Msindai: Sipendi siasa za kuchafuana
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Mgana Msindai, amesema hapendi siasa za kuchafuana zinazofanywa na baadhi ya wanasiasa wanaotafuta umaarufu. Msindai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wenyeviti...
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Sheikh akoromea siasa za kuchafuana
10 years ago
Mwananchi06 Sep
HONDOHONDO : Kampeni za kufarakanisha, kuchafuana
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Tuepuke tafsiri potofu ya ‘Valentine’s Day’
LEO ni siku inayowagusa baadhi ya watu ambao wamekuwa wakiamini ndiyo siku ya kuonyeshana upendo ‘Valentine’s Day’, ambayo huadhimishwa Februari 14 kila mwaka. Katika siku hii, wengi hupeana zawadi mbalimbali...
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Tuepuke ubabe Bunge la Katiba — Dk. Shein
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Mohammed Shein, amewaonya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutotumia ubabe na jazba kuwasilisha hoja zao. Dk. Shein alitoa kauli hiyo juzi...
11 years ago
Mwananchi21 Oct
Tuepuke siasa katika vita dhidi ya ebola
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Tujiweke sawa kiuchumi tuepuke aibu baada ya kustaafu